Thursday, June 30, 2011
KIM K AANZA SAKA KIVAZI CHA HARUSIYE
|
Wednesday, June 29, 2011
KT'z za MRS O
RAHA YA HUU MDUNDO UNAVALIKO KOKOTE NA CHOCHOTE NI WEWE TU....KUZINGATIA...kamtoko kaseriaz unashtua KAPOINTED FULANI HV......KA SI KT yenye ujazo wa details za kutoshaaa.......Tutaelewana tu kidogo dogo ;) Olivia Upo?!! ;)
INASIKITISHA EEE?!!
MO BLOG INAPENDAKUWAFAHAMISHA WADAU NA WASOMAJI WA BLOGHII KUWA TUMESIKITISHWA NA KUHUZUNISHWA NA TABIA INAYOENDELEA YA KUHUJUMIWA NAWAPINZANI WASIOPENDA MAENDELEO YETU KWA SABABU ZAO BINAFSI.
KWA MUDA MREFU TUMEKUWA KATIKA HARAKATI NA MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA TUNAWAHABARISHA,ELIMISHA NA KUJADILIANA NA WADAU MBALIMBALI WA BLOG HII BILA KUINGIA UHURU WAWENGINE WALA KUKOSOA WENGINE, KWANI MAENDELEO YA KWELI YANATOKANA NA KUJIAMINI.
KWA MANTIKI HII TUNAOWAMBA RADHI WADAU WETU KWA KUTOKUWEPO HEWANI KWA SAA KADHAA LAKINISASA MO BLOG IMERUDI NA ITAENDELEAKUWALETEA HABARI NA BURUDANI MBALIMBALI NANYI MSISITE KUTUSHAURI NA KUTUONGOZA KWA MAWAZO YA KUJENGA.
IKIWA NI MARA KWAMARA TATIZO HILI LA KUPOTEA NA KUPOTEZA KAZI ZETU KUTOKEA KATIKA BLOG YETU,TUNAJIULIZA NI WAPI TUNAKOSEA AU KUHARIBU KATIKA UHABARISHAJI WETU WA HABARINA MATUKIO ,AU KUFANYA HIVI NI MAKOSA..?!!!
KWA KIFUPI MOBLOG INATEMBELEWA NA WATU20,000 KWA SIKU NA HILI LINATUPA NGUVUNA KUFAHAMU KUWA WADAU WETUWANARIDHISHWA NA KUPENDEZWA NA HABARI ZAKITAIFA, KIMATAIFA, BIASHARA, MICHEZO, BURUDANI NA INTERVIEWS ZA WATU MAARUFUWANAOJULIKANA NA WALE PIA WENYE VIPAJI WASIOJULIKANA.
WADAU HILI NI KOSA…???
KWA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA KAZI ZOTE ZA MWAKA HUU 2011 ZILIZOPENDWA NANYIWADAU NA NYINGINE ZIKITOKANA NA MCHANGOWA NINYI WADAU NA WASOMAJI ZIMEPOTEA KWALUGHA NYINGINE (ZIMEFUTWA/ZIMEPOTEZWA)KWA SABABU AMBAZO ZINATUTIA SHAKA NA KUTUPA HISIA KUWA NI ZA KIPINZANI.
TUSINGEPENDA KUSEMA MENGI NA WALA KUTAJANA MAJINA ILI KWAWEMA KABISA NA HEKIMA TUNAPENDA KUSISITIZA KUWA UPINZANI WA KUHARIBIANA SIMZURI NA HAUJENGI WALA KULETA MAFANIKIO KWANI MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
HAIPENDEZI KUONGEA HAYA YOTE HAPA ILA YAKIZIDI NI AFUENI YAMOYO NI KUONGEA NA KUSEMA WAZI TUMECHOKA KUHUJUMIWA.
ASANTE KAKA MAKWAIYAKWA MSAADA WAKO, MKUBWA MICHUZI TUNAKUSHUKURU BILA KUMSAHAU MZEE WA FULLSHANGWE NA WENGINE KWA MISAADA MBALIMBALI NA USHAURI MLIOTUPA KWETU.
WADAU WA MOBLOG TUKO PAMOJA NATUTAENDELEA KULIJENGA TAIFALETU KWA AMANI, UPENDO NA MATUMAINI.
TUNAWAPENDA, TUNAWATHAMINI, TUNAWAHESHIMU NA TUTAFANYA KAZIPAMOJA NA TUTAFIKA PALE TUNAPOKUSUDIA.
MUNGU IBARIKI MO BLOG NA WADAU WAKE WOTE.
Endelea kuperuzi MO BLOG www.mohammeddewji.com/blog
SIDHANI KAMA NI SAWA HUJUMA KAMA HIZI NAKUMBUKA NAMI BLOG YANGU ILIFUTWA MWAKA JANA...HAIPENDEZIII JAMANIII....HUJUMA HIZI WATU TUNAJIBIDIISHA NA HIZI BLOG NDO AJIRA ZETU....TUHESHIMU HII KAMA KAZI ZINGINE
Tuesday, June 28, 2011
BET GREEN CARPET.
unyayooo huo ....kivazi kilifit mtoko |
dada nickiiiiii!!! |
hivi majuu hakuna fungas za joto...au akivaa sylvia ndo majotrooooooo?!! ;) |
huyu kaambiwa ilibidi zipu ifunguliwe atlist hewa izame maana izo ngozi ni jiko la mkaaa |
mchana jotooo na kitu cha satin!! |
dada kaulizwa gauni lake la oscar kalivaa huku?!1 |
DESERT ROSE!!
K.K.W HAYA NAWAJUZA KUNA SALOON MPYA IMEFUNGULIWA NI FULL PACKAGE NDANI HUKO UTAKUTANA NA DUKA AS BOUTIQUE,SALOON YA KIUME,YA KIKE, CHUMBA CHA MASSAGE MAMBO YA KUCHA NA FACIAL, BILA KUSAHAU CHUMBA MAALUM KWA AJILI YA KUPAKIWA HINA (MAMBO YETU Yaleee ya kisudan...live live) bila kusahau mambo ya kusingwa wenyewe mnayatambua kama massage......yote haya yanaletwa kwenu na YULE SOME YETU ZULEKHA LODI...TASHTITI ZAKE SI MWAZIKUMBUKAA HAYA MPITE
WANAPATIKANA::KINONDONI MUSLIM WANATAZAMANA NA GETI LA KUINGILIA SHULENI
WACHEKI NAMBA::0774314151 NA 0655318032
DUKA NDO HILOOO
CHUMBA MAALUM KWA KUPAKIWA HENNA
SALOON KUNA CHUMBA MAALUM CHA WANAUME NA KIPO MAALUM KWA WANAWAKE
MAMBO YA MASSAGE
MPITE MKAJIONEE
WANAPATIKANA::KINONDONI MUSLIM WANATAZAMANA NA GETI LA KUINGILIA SHULENI
WACHEKI NAMBA::0774314151 NA 0655318032
DUKA NDO HILOOO
CHUMBA MAALUM KWA KUPAKIWA HENNA
SALOON KUNA CHUMBA MAALUM CHA WANAUME NA KIPO MAALUM KWA WANAWAKE
![]() |
HAYA MAMBO YETU YALEE YA FACIAL |
MAMBO YA MASSAGE
MPITE MKAJIONEE
SABASABA SPECIAL......8020 FASHIONS
YAP YAP......8020 FASHIONS LEO TUTAKUWA KATIKA MAONESHO YA SABASABA KAMA UTAPENDA TUKUTEMBELEE KWENYE BANDA LAKO TUPIGIE SIMU
0784 418941
TUKUZUKIE......SABASABA SPECIALLLL !!!!
0784 418941
TUKUZUKIE......SABASABA SPECIALLLL !!!!
Monday, June 27, 2011
FJ......YUKO MUJINIIII!!
Welcome home doll!!.....xoxo!!
![]() |
yap yap ndo yule yule Fashionista Fashion Junkii Rosemary......mzukie kijiweni kwake HUMU uone swagga zake |
Subscribe to:
Posts (Atom)