Thursday, July 8, 2010

MARY J BLIDE .....ASHUSHA PERFUM

lNI PERFUM YAKE MPYA AMEIITA 'MY LIFE' HAYA MLOKUTANA NAYO KWENYE MALL NA DUTY FREE maana mie ndo huenda huko na kujimwagia kila aina , MNIHADITHIE HARUFU YAKE...MNIAMBIE KAMA NIIJUMLISHE KWENYE MAINGIZO YANGU MAPYA....any idea of new perfum..tayari nina ingizo jipya la CHLOE...ni taamu


                         hapa naona aliona ajitupie kamtandio ili auze perfum yake na sijipaja....wink

Wednesday, July 7, 2010

INGIZO JIPYA......BAN.DO ,HEADPIECE A.K.A VIBANDIKO

nimeguswa na hizi BAN .DO aka VIBANDIKO VYA KITENGE.....VIMEDESIGNIWA NA MBUNIFU RACHEL STEWART KUPATA MAMBO YAKE ZAIDI CHEKI HUMU
 



HIVI VYENGINE NI KUTOKA MAJUU






 NILISAKA HIVI BAADA YA KUGUSWA NA HIKO CHA NACKY KINAPENDEZA EEE!!

Tuesday, July 6, 2010

HEENA

KUMBE KUNA STYLE YA KUPAKA HEENA  TOFAUTI TOFAUTI NA SI KAMA AMBAVYO NILIVYOKREMISHAA...KUNA MIPAKO YA SUDAN...YA BI HARUSI  NA HATA YA KIGOLI...JUZI NILIKUTANA NA MIPAKO YA KISUDAN ...NITAWAONESHAA ...ENDELEENI KUBARIZI KIBARAZI





Picha::thanks to Disminder Original

MOUREEN BIRTHDAY!!

BIRTHDAY::MOUREEN
VENUE::MJENGONI KIMARA
YEAR::5 YEARS



kulikuwa na bembea....mambo ya MONO ACCESORIES hayo
 
                                                   Mamaa MoNo akilishwa Jiugonjwaa
                                      Mama Mkubwa nae Mama B ...Full kumechishaaa

                                           Noreen akaona isiwe taabu wacha amlishe dadayee

wimbo wa birthday uliongozwa na Norman

RED CARPET











                                      BABY NADYA nae alikuwepo...Congrats Nasraa
HAIR DO!!




                                                        Mjengoni....Kimaraaa....

Monday, July 5, 2010

BLAZER IYOOOOO

Haya katika maonesho ya mavazi yanayoendelea huko Afrika ya kusini yakijulikana kama Africa Fashion Week kuna mbunifu  Gloria Wavammunno kashuka na collection akiwa ametumia material ya kiafrika vikiwemo vitenge... nimekunwa na hii BLAZER YA KITENGE KAMA SI KANGA.......NIMEGUSWA ZAIDI NA KUKUTA WADADA WA TZ WAKIWAKILISHAA...heko zenu Millen na Flavian


                                                             cheki Blazer iyooo


                                                                         Millen

                                                                     Flavvy
Picha::thanks to bella Naija

MOVIE TIME!!.....OUR FAMILY WEDDING !!!

haya wadau..hii movie inaonekana inabamba saana hilo jina tu nahisi Inatuhusu..isakeni muione tuje kuhadithiana

thanks Glory.