Monday, August 2, 2010

LUXURY LINEN........WASHUSHA VITENGE VYA UKWELI


LUXURY LINEN WAUZAJI WAMATAULO , MITO NA MASHUKA SASA WAMELETA INGIZO JIPYA LA VITENGE VYA UKWELI KUTOKA , KUNA ANKARA AMBAYO NI REAL ENGLISH WAX PRINT, KUNA ATAMPA NO ORIGINAL VERITABLE HOLLANDAIS PAMOJA NA BROCADE/ BAZIN 100% KUTOKA HOLLAND ...mabiharusi mshindwe wenyewe chagua

WANAPATIKANA::MJENGO WA TRIPPLE A KARIBU UNICOOL, BAGAMOYO RD
MAWASILIANO::0775 002222

 NA KITENGE HIKI KILICHOVALIWA NIGERIA NACHO KIPO CHA RANGI KIJANI NA ZAMBARAU YAKE
 vya luxuri hivi hapa

Enjoy shopping with LUXURY LINEN

WADAU.....TUMSAIDIENI NA HUYU

Hallow da Shamim,
   Mimi ni mdau wa blog hii lakini kwa leo naomba niombe msaada toka kwako na wadau wengine.
  Mimi ni msichana na tatizo nililonalo ni kwamba kila nikishave natokwa na upele, mara ya kwanza nilikuwa natumia shaving cream aina a veet na baada ya hapo nikiwa natumia shaving machine ya Gillette lakini matokeo bado ni hayo hayo.
  Naomba msaada wako na wa wadau pia kama wanajua tiba sahihi ya tatizo lana maana lininakosesha raha.

thanks,

mdau.

HAIR DO!!

NEW ARRIVALS @ VIATUZI

http://www.viatuzi.blogspot.com/
NI WALE WALE WAUZAJI WA VIATU BOMBA NA BORA TOKA UINGEREZA WAMESHUSHA MZIGO WA MWEZI WA NANE VIKIWEMO VIATU, POCHI ZA USIKU NA MAZAGA MAZAGA
KUONA ZAIDI ZAMA HUMU
WANAPATIKANA ::SEA VIEW UPANGA
MAWASILIANO:: 0715 850855





clutch & purse

ACCESORIES aka VITUPIO