Tuesday, August 3, 2010

NEW ARRIVALS.....AFRICAN TOUCH @ BINTI AFRIKA

BINTI AFRICA WAUZAJI WA VIVAZI VYA KIAFRIKA SAMBAMBA NA VITUPIO, IKIWEMO SHANGA NA SASA AMEKUJA NA INGIZO JIPYA LA MABANGILI YA KITENGE  NA BATIK.cheki picha
WANAPATIKANA ::KINONDONI B ,KARIBU NA MSIKITI WA MTAMBANI
MAWASILIANO:: 0653 777 774



PROUDLY TANZANIAN

SWIZZ & ALICIA WEDDING

CHELSEA CLINTON WEDDING


Inasemekana mtoto alimwambia Baba apunguze kilo ili atokee siku ya harusi yake
JIUAAAAA

MAMBO HAYA YAPO MJINI

KUONA ZAIDI MTEMBELEE ADAMASGOOD HUKU

THE EAST AFRICAN BASH!!

REDDS PARTY!!

kwa mafashionista na wapenzi wa urembo na Mitindo wanaopenda kujumuika nasi kwenye  party pige simu iliyopo kwenye kadi ambayo ni 0614105136, au 0785000136
upatiwe kadi

HAMIDA KITCHEN PARTY!!

BRIDE::HAMIDA MADAYA
COLOR::PINK& BROWN
VENUE:: LUMUMBA
PICHA::AR VIDEO


mapambo!!
tashtitiiiiiii
Hii ndo ilikuwa Ahsante ya Hamida.....hereni shost..ni ubunifu tu tumechoka leso na miko sie

bi hamida akitoa zawadi
Mashost....hatukwenda mikono mitupu!!
Zindukaaaa....malaria haikubali.....:)
Mama mdogo nae alijikusanyaaa 

 PASPOT SIZE.....:)
 imebidi hichi kipendele kiwemo coz wengi hupenda kupigwa picha nusu ,nami nimekuwa nawatania camera yangu haipigi picha nusu nataka full ili kuonesha vivazi, haya kuanzia sasa wauza sura mtakuwa mnaruka, ila ndo sio kila mtu atake nusu tutakuwa tunapiga full na half au nyie mwaonaje?!!
Lol...hivi nami siku moja nitaweza paka lipstick nyekundu ndu!! 

RED CARPET





NILIKOGUSWAAAA
 ALIYEGUSWAAAA......