Thursday, September 2, 2010

NEW ARRIVALS.....@VIATUZI


NI WALE WALE WAUZAJI WA VIATU BOMBA NA VYA UKWELI.....SASA WAMELETA VIATU KUTOKA MAREKANI VIKIWEMO VYA MACELEBRITY AKIWEMO JESSICA SIMPSON, PARIS HILTON NK KUONA ZAIDI INGIA VIATUZI
WANAPATIKANA:: UPANGA SEA VIEW
MAWASILIANO:: 0715 850855



































ENJOY SHOPPING WITH VIATUZI

DHOFARI. DRESS

                              lapatikana kwa somo zulekha duka latazamana na msasani kkkt
                                  yaani ni swagga huko nyuma linakuwa kama linaburuzika hivi na mbele kama linaheng
HIZI DHOFARI KESHO NTAWAPOSTIA DISH DASH ZAKE ...ni balaaa MAKHALAT MVUJE VIBUBU....LOL
PICHA ::thanks Mama P

Wednesday, September 1, 2010

ANAOMBA USHAURI HUYUU

habari zeze, naomba ushauri kwako na kwa wasomaji wa blog yako. Nasikia kuna mazoezi ya kumfanya mtu awe na hips na matako, naomba anayejua mazoezi hayo anielekeze jinsi ya kufanya coz mimi ni mwembamba sana sina hips wala matako najihis sipendezi nikivaa nguo kwa kukosa hips. Please kama unajua mazoezi hayo nielekeze my dia.

BIASHARA!!

For Sale
Brand New ipad Wifi-3G Never been opened. VGA Connector, Docking Station and Original Carrying Case ; both have never been opened
Serious Buyers Only Please  Call 0787-842-328 or mbezi1980@yahoo.com

Please dont call if you are not ready to purchase the item....Asking Price $1,000 or BEST offer

HIVI UNAJUA KWANINI HUJAPATA MWENZA WEYE?!!!!!!

ETI, WE UNA GUBU, WE HUJICHANGANYI SHOST, UNACHAGUA SAAANA,SHOGA ANGU HUCHEKI WEYEEE, NA PIA HUJIPENDI BIBI(HUPENDEZI), PIA HUAMINI NA VILE VILEE UNAJIONA WE BAB KUBWAA
 LOL!! KATIKA PITA PITA BLOGU ZA JIRANI NIKAVUTIWA NA HII NIKASEMA KIZURI KULA NA WANA, KIBAYA TUMTUPIE MBWA...KUSOMA ZAIDI ZAMA KWA 



KAPENDEZA EE?!!

TATIZO LA WEUSI CHINI YA MACHO!!

Tatizo la weusi chini ya macho baadhi ya watu tatizo inawezekana kuwa ni dalili za ambazo husababishwa na allergies na uchovu .Haijalishi nini kinachosabababisha lakini unaweza kupunguza weusi chini ya macho yako na kwa jinsi nyingine inawezekena kutokomeza kabisa.Unaweza kutumia matibabu ambayo yatatibu na kuondoa weusi kwenye macho yako.
ZAIDI ZAMA BONGO UREMBO UREMBEKE