![]() | |||
MAMBO ZEZE MIMI NI MDAU WAKO MKUBWA NA NIMEFURAHI ULIVYOANZISHA HICHI KIPENGELE CHA ANGALIZO NA JUZI NIMEONA BI HARUSI KAULIZA KUHUSU KIMWAMVULI NIKAONA NAMI NISHEE HII YANGU MIMI NI BI HARUSI MTARAJIWA NATAKA SIKU YA HARUSI YANGU NIVAE VIATU FLAT KAMA HIYO NILIZOKUONESHA PICHANI ILA ZENYEWE NYEUPE NA ZINA HIZO STUDS ZA GOLD AS NTAVAA WHITE AND GOLD ACCESORIES. IYO MWAIONAJE NITAKUWA NIMECHEMSHA KUVAA FLATS KWENYE MY WEDDING DAY....MIMI SIWEZI KUVAA HIGH HEELS AS I AM NOT COMFORTABLE...NA I DONT WANT TO RUIN MY DAY KWA KUVAA MAVIATU AMBAYO SIKO COMFORTBALE NAYO. WILL IT BE OKEY?!! BRIDE TO BE!! |
Thursday, September 30, 2010
ANGALIZO....FLATS ON MY WEDDING!!
GRACE PRODUCTS LTD!!
Grace products ltd ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa sabuni zakufulia, shampoo yenye conditioner na sabuni za kuogea zenye dawa na madawa ya chooni. KUWASILIANA NAO NA MAELEZO ZAIDI KUHUSU BIDHAA ZAO WASILIANA NAO KUPITIA
SIMU::0759 188327, 0782 631351, 0717 069059
EMAIL::emajabi@yahoo.com
SIMU::0759 188327, 0782 631351, 0717 069059
EMAIL::emajabi@yahoo.com
Hutibu fangasi wa aina zote sehemu za siri candidas huondoa harufu mbaya za ukeni,Pia huondoa ute mchafu ukeni tumia kila uendapo uani ,ogea na kufulia nguo zako za siri.
Huondoa mafuta kwenye ngozi huua bacteria ,huondoa madoa madoa ,ukurutu,harufu mbaya mwilini,mikunjo ya ngozi isababishwayo na umri mkubwa
Hutibu kansa ya ngozi ,hurudisha katika hali yake ya kawaida ngozi iliyoathiriwa na krimu
Ni sabuni nzuri ya kutibu magonjwa ya ngozi ,fangasi ,utangotango ,harara,fangasi za miguu,mapunye kichwani .Pia ni nzuri kwa kunyolea ndevu bila kutokwa na vipele.
Inayeyusha mafuta katika mishipa ,mzunguko wa damu na kuleta nguvu mwilini kwa majukumu ya ndoa ,madereva na yeyete afanyae kazi nzito
Kwa kusafishia nywele, Kufanya nywele zisikatike, Zivutie ,ziwe nyeusi,kukuza Kuondoa mba,kuzifanya zivutie na zenye kung`ara.
Wednesday, September 29, 2010
MSHAURINI
mambo shamy,najua uko ktk maswala ya urembo kwa ujumla,nisaidie kwa hili....nywele zangu zimebadilika rangi zimekua nyekundu na ni kavu mno...kiasi kwamba hata nkienda saluni kuosha na kuset au nikiritachi.... nywele bado zinakua kavu kama hazina mafuta yan mpk roho inauma mana cna raha tena ya nywele zang,plzz nitumie nini nywele zangu zishain ziwe lain????
"mie kama shamim nakushauri ujaribu T444Z.....imenisaidia saana ntawaonesha b4 and after soon "
"mie kama shamim nakushauri ujaribu T444Z.....imenisaidia saana ntawaonesha b4 and after soon "
USIKU WA KANGA ZA KALEEE WAIVAAA!!!
JAMANI MFANYE MUJE KUANGALIA SHOW ZA UKWELI, PATA PICHA SHAMIM JUKWAANI NACATWALK....JUU NA HIGH HEELS SI MIELEKA IYOOO.....UNAINGIA MWANZO WA STAJE HADI MWISHO NAANGUA KICHEKOOO....KWA KWELI ITAKUWA ZAIDI YA FASHION SHOW......MACELEBRITY WOOOTE WA BONGO KATIKA FANI YA MITINDO NA WADAU KUTOKA SEKTA MBALIMBALI SIKU HIYO NDO WATAKUWA JUKWAANI.....MAMODEL WATAKUWA WANATUPIGIA MAKOFI...PWA!! PWA!! PWAA!!
SI YA KUKOSA HIIIII!!!!
LIGHT SENDOFF & WEDDING!!

Ni ubunifu tu kwenye harusi wakaona watuke na sare ya kitenge kama wadogo wa Biharusi...ICHUKUE IYOOOOO uifanyie kazi
rangi ilikua ZAMBARAU.ila si mwajua hakuna kitenge cha rangi moja wakamix na LAVENDER
KABLA YA WEDDING KULIKUWA NA SEND OFF HUKO HUKO TANGA NDANI YA HOTEL YA MKONGE HOTEL
Mama Light akiingia ukumbiniiiiiLOL!! PARENTMATE WEE.....JICHO HILOOO LINAONESHWAAAA KUNGU ILITAWALAA CHEZEA TANGA WEYEEEE
nimeguswa na hiyo mikono yenu ya Lady Gagag Mama Nayla weee
parent mate akiwa na mdogo wa Bi harusi Julie 'Kyekue' ....
SARE YA KITAMBAA ILIKUWA NI "BROCADE FABRIC" KILEE MNAKIKUMBUKA EEE WALIVAAGA WAPOPO, SASA KIMEVALIWA NDANI YA BONGO,
hiki ndo kilivaliwa Nigeria......changu mimi nitakivaa IJUMAA kwenye KANGA ZA KALE....DIAMOND JUBILEE....NTAPANDA STEJINI SIKU HIYO KAMA MODEL
.....WATCH MEEE!!.......
BYE GENEVIEVE.....ALL THE BEST!!
Naona Bi mkubwa katupia kitu cha Bendera ya Tanzaniaaa...STYLE IYO INAITWA MAMA SALMA KIKWETE...upo?!!
full family support .....inatia moyo
Subscribe to:
Posts (Atom)













































