Tuesday, October 5, 2010

SHEAR CHARITY BALL PARTY!!

hapo chini kuna vifurushi ambako kila aliyekuwepo huko aliondoka nachooo...guess kuna nini ehe ndio gazeti....ehe?!!
                                                 
                                                               Madam Shekha
                                                  January Makamba alikuwa mgeni wa rasmi
                                               MC alikuwa Taji Liundi na Cute Penny
 MAPAMBOOO humo ndani kulikua kweusi tulingarishwa na taa na kitu cha kati hapo chenye JIUA
                          ILIKUWA UKIFIKA TU UNAPOKELEWA NA ASHERS WAKIWA NADNI YA MAVAZI RASMI YA SHUGHULIII......ni swagga tu  ;)
                                                                    BURUDANI!!
                 ilitoka kwa mchezaji mahiri romba na patna wakeee....aaaa jamaa anajitumaaa

                              THT nao hawakuwa nyumaaaa.....walikamua ile yenyeweeee

                                            fataki ziliwashwa na kila meza.......ni swagga tu  ;)
                            KABLA YA KUPATA DINNER TULIANZA KWANZA NA COCKTAIL
                      RED CARPET!!!ZULIAJEKUNDU!!
                                                      WALIROCK ZULIANI!!

                                                     
                                                      
PICHA MKATO!!
             

                                         KIM K .....WA BONGO NAE ALIKUWEPOOO
                                                 MA-MADAM WOTE WATOKEA

    NAOMBA NICHUKUE FURSA HII KUWATAMBULISHA KWENU BEYONCE NA JAY Z  wa bongo    ;:)  ukifanikiwa kupishana nao hutabishaaana nami
     HUYU NDO HUYU MKALI WA SALSA....NAE ALIPITISHWA ZULIA JEKUNDU



                                                 



















                                                 NILIKOGUSWAAA!!
 Angalizo!! nimeguswa na Sarah ....sababu nguo tayari ina detail(mapamba) hakuona haja ya kujitwisha mijihereni iyooo akatupia kitu cha Stud Earings chezeeeea Sayonce ;)
Angalizo::hapo umeona eee sophy  Ma Nayla alivyoJIFUNUA kwa kupiga hereni ndefu full bling ndani ya bega  moja ......sasa hapo angesema ajitundike na Jicheni watu ndo ileeee tungeinuka kama Drogba (mcheza mpira maarufu duniani) Kakosa PENATI.   ;)

 Maaashaalllaw!! mambo yetu ya kisudan....ila nimegundua hii ina ya kisudan kunoga hata rangi ya mwili inachangia.....bibie Tunu Upo?!!
SWAGGA ZA VIBANDIKO......headpiece zilikuwepo
                                         
                         HAHAHA VIDA ALINIGUSA NA HIYO BALL TIE YAKE KWA DRESS
 HUYU MAMA ALIGUSA WENGI ...HILO REMBA LAKE JAMII YA NYWELE.....somo Upo?!!
MADINIII  MAMA MADINIIII....HAPO JUU YA LIPS shoto...'zoom'
ACHANA NA SWAGGA ZA GLOVES...NILIGUSWA NA MAKE UP....THANKS MUNNA ALIYENIPURA NIKAPURIKA,...WADAU YEYOTE MWENYE HARUSI AU MTOKO UNATAKA KUPAKWA MAKE UP NIBEEP NIKUPE MCHONGO UREMBWE NA PROFFETIONAL MAKE UP NA ANATUMIA PRODUCTS ZA UKWELI

VOTE FOR KAONE.......MWISHO ASHINDE

http://bigbrotherafrica.dstv.com/bbawapmobile/Vote.aspx
LINK IYO INGIENI MUMPIGIE KURA KAONE ABAKI ILI UTI NA MUNYA WAENDA SABABU HAO NDO WAGUMU PLZ.....#TZROCKS


MAFASHIONISTAA MPO WENGI DUNIANI!!

            

Monday, October 4, 2010

MSAIDIENI HUYU!!

shamy naomba msaada wako mm ni binti wa miaka 26 natarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka ujao. sasa zeze nina tatizo la michirizi kwene mikono yangu na miguu japo miguu sio sana lakini hasa kwenye mikono nahofia kutovaa nguo ya wazi. sasa naomba unisaidie nipake nini ili michirizi iishe? mana  kuna filamu ya tafrani wema anaonekana kuharibika sana na hiyo michirizi lakini nimeangalia movie mpya ameekti na kanumba hivi majuzi kati hana hata alama hata moja ya michirizi sasa nashindwa kuwasiliana nae  mana sina contact zake anielekeze amepaka nini. plz naomba unisaidie dada yangu yani nakosa raha ya kuvaa nguo ya mikono mifupi.
wako mpenda blog yako
Nina

INGIZO JIPYA......UNG'ARO NG'AROO ...UMEREJEA


ye aliona atoke na ungaro wa clutch



UNAWEZA KUPATA UNGARO NGARO WAKO WA KIPOCHI NA JIPOCHI 8020 FASHIONS......MWANAMKE NGAR!! NGAR!! SHOSTI!!

ANGALIZOOOO::JAMANI TUAMBIANE UNGARO NGARO HUO UNAWEZA UTINGA MCHANAA AU NI MAMBO YA NIGHT KALI?!!!