haya baada ya kuona picha tupeane shuleee...hii Hallowen party huwa inahusiana na nini maana naona macelebrity woote waulaya wameisherehekea...bila shaka Lady Gaga alilala hii coz ye kila siku naona anadress kihallowen....lol!!
Tuesday, November 2, 2010
UNIQUE MODEL KUSAKA WAREMBO?!!
Kampuni ya Unique Entertainment imeandaa shindano la uanamitindo linalojulikana kama Giraffe Unique Model 2010 litakalofanyika Desemba 24 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean View.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Unique Entertainment, Methusaleh Magesse alisema kuwa shindano hilo litajumuisha washiriki ishirini.
Alisema kuwa washiriki hao watapatikana katika mchujo utakaofanyika Novemba 20 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean View.
Aliwataja majaji watakaohusika katika mchujo huo kuwa ni mbunifu maarufu wa mavazi nchini Ally Remptula, mwanamitindo Victoria Martin, Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald na mcheza filamu maarufu Steven Kanumba.
Alivitaja vigezo vitakavyotumiaka katika shindano hilo kuwa ni urefu wa futi 5’ 8’-6’, hips 35-37, kiuno 26-29 na kifua 32-35.
Vigezo vingine ni muonekano wa kiuanamitindo, kijiamini na umri 18-25, tabia njema na minato.
Aliwataka wasichana wenye sifa hizo kujitokeza Giraffe Hoteli Novemba 20 kwa ajili ya mchujo kupata washiriki 20 watakaoingia kambini katika hoteli hiyo Desemba mwaka huu.
Monday, November 1, 2010
CHUCHU's BIRTHDAY PARTY
![]() |
| MAUGONJWAA JAMANIII NDO NIMEDATA NAYOOO |
HAHAHHA ILIKUWA SIKU YA HALLOWEN HIVYO ALIAMUA ATOKE KAMA UGLYBETY.....;)
MAPAMBO NAYO YALIKUWA NA THEME YA HALLOWEN
WAALIKWA NAO WALITOKA KIHALLOWEN PIA
MAMBO HAYA YALIFANYIKA ABUDHABI
MSHAURINI
Mambo Shamim,
Kusema kweli nimekua ni mdau mkubwa sana wa blog yako hata nikawa mmoja wa watoaji comments kwa watu mbalimbali wanaoomba msaada kupitia blog yakoSijajua ushauri wetu huwa unawork namna gani but nimeona nami leo niombe ushauri
Mimi nna miaka 27, sijui msichana sijui mwanamke, sijui nijiite mtu mzima lakini huo ndo umri wangu. Kwa sasanipo Nairobi kwa kazi fulani iliyoniweka huku kwa mwaka mmoja hivi kazi ambayo naimaliza na kurudi TZ next week moja kwa moja
Sasa shida yangu ni kwamba toka niingie Pubety nimekuwa na chunusi mpaka leo,imagine huo umri wangu then nilianza period yangu ya kwanza nikiwa na miaka 15 all this time nimekuwa na chunusi hazijawahi isha
Nimetumia cream za kawaida hizi sijui Princess na Persal kwa muda mrefu but In Vain
Mwaka juzi nikahamia kwenye Carolight mpaka mwa huu January, kusema kweli chunusi haziniishi zaidi ya kunibadilisha rangi ya ngozi, mi ni maji ya kunde
But nilivyofika huku nikaanza kutumia bidhaa za oriflame ambazo kusema kweli zimenirudisha kwenye ngozi yangu but chunusi zipo palepale, but kabla ya hapo niliendaga kwenye clinic fulani hiv pale Kwa Remi wanatoa dawa fulani hivi kama maji nilizitumia kama miezi mitatu hivi niliona naibiwa tu kwani hazikuisha na nilispenda kama laki nne hivi coz dawa zao ni expensive na wanatoa midawa kibao
Ila mpaka sasa natumia Oriflame products sema lakini bado ninazo tu, sina chunusi sana ila madoa ndo magumu kutoka, honestly ukiangalia ngozi yangu ya miguu unaweza usiamini kama usoni nipo na chunusi coz nina miguu softiiii
Nimeshafanya skin test na farbek, hata huku hawa oriflame walinifanyia waniambia kuwa nina mafuta mengi na juzi tu nimepima Agha Khan nimeambiwa nna mafuta mengi
Sasa kusema kweli siogopi itakua shingi ngapi coz nimetumia zaid ya hata sijui milioni ngapi toka nianze kutafuta suluhisho hili bila mafanikio so kama kuna mtu anayejua mahali ambapo kwa kweli nikienda ntapata tiba na kuisha ntashukuru nimechoka mwenzenu nadhani unajua chunusi zinavyofanya mtu kuwa unconfortable especially kama ni mtu wa kisasa
Unaweza angalia kwenye facebook picha zangu ukaona michunusi yangu kweli imenichosha...
mwalimmissie@yahoo.com
kama kuna mtu anaweza nitumia email kunielekeza but naomba ziwe ni sehemu ambazo kweli ntapata msaada staki chochote chenye SIDE-EFFECT mbaya kama kuchubua
Nitashukuru sana
Keep Rolling Mama...fans wako tunaendelea kukupa support
Thanks
THEA KITCHEN PARTY
| inaonesha ilikucha saana...Hongera saana THEA ni mmoja kati ya waigizaji wa kike wanaonikuna katika tasnia hii ya filamu za nyumbani....kila la kheri |
| nimeguswa na swagga la gloves la mainda jiugonjwaa lilikuwa la nguvuu kabinti kadogooo nako kalikuwepoooo D.I.D.A nae alikuwepooo |
MECKYSHA DIVA's RAMSA!!
Ramsa watoto wa kizanzibar wanaitambua kama Get Together... ambayo washkaji wa Mecky Bongo Star Movie anayewakilisha na kati ya UKerewe.. wakiwemo Kajala. Diana Bilayla, Salama waliamua kumkaribisha mshakaji wao kwa style hii
Hii ilikuwa no moja ya burudaniii
![]() |
| kitu chaaa mtarimbo Doroooo kilipigwa mikato ya kibao kataaa.....ni balaaa |
tukapata na kitu cha misosiiii then tukasepaaaa
Subscribe to:
Posts (Atom)































