Monday, January 3, 2011

KUTOKA MAJUU...KIM K

                                                                     studs dress
                                   wapi Marshaa , mwamvita , Kissa mambo yenu hayaaa!!

SEQUINE AKA UNG'ARO NG'ARO

                                                       ni hicho kitu cha MERCY G

NEW ARRIVALS,,,,,,,@BINTI AFRIKA


 HAYA WADAU MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA....BINTI AFRIKA AMESHUSHA MZIGO MPYAA NA MISHONO MIPYA...HII NAWAONJESHA TU MAMBO MAZURI MPITE DUKANI
WANAPATIKANA:: KINONDONI B KARIBU NA MSIKITI ZA MTAMBANI MAWASILIANO::0653 777774 

                                                     



ENJOY SHOPPING WITH BINTI AFRIKA

ka VIDEO kenyewe ndo haka!!


haya wadau mwaka mpya na mambo mapya nitakuwa nawaonjesha kwa style hii tuvideo kidoogo ili mpate ladha halisi ya matukio.....nafurahi kwa support yenu....na maoni yenu ni changamoto kwangu ambayo yako ndani ya uwezo wangu nayafanyia kazi yalonizidi umri namuachia mungu anfanyie wepesi yanayosaidika nawatupia wadau wananisaidia
xoxo

POLENI KWA KUWAPINDISHA SHINGO

MOVIE TIME!!.....LIFE AS WE KNOW IT

GLORY kaniambia hii inabamba...isakeni mnihamasishe...maana DINA kanishushia mzigo wa haja

ANATAFUTA WA KUMFUNDISHA!!

mimi ni mdada wa Kitz,mpenzi sana wa blog yako. Nakupongeza kwa kunipunguzia stress, kila nikiingia kwenye blog yako huwa nakutana na habari nzuri ambazo hunipunguzia stress.Naomba unitangazie kwenye blog yako sehemu ambako naweza kupata mtu akanifundisha dancing ya hizi nyimbo za Afrika ya Kusini (Kwaito) yaani napenda sana kujua kucheza hizo nyimbo, nimechoka kubahatisha.I like dancing. Wanijulishe na bei pia. Asante na siku njema.

NAWAONJESHAAA!!

                                                                 Eliza beth Send Off party!!
                                                                 NILIKOGUSWAAA
KIVAZI HILO KILINIBAMBAAA.....nimemkumbuka Kimora lee....NGOJA NIMGOOGLE niwatupie hapo kati