Wednesday, February 2, 2011

FLAT SHOES MZUKAAAA!!

Mitsuka na flats zake na kanoga mbayaa. FLATS si kwa wajawazito tu hawa weye waweza tinga flats na UKAROCK....

ANGALIZO:: ZILE PARTY ZETU ZA GARDEN FLATS NDO MWAKE MWAKE BABAAKE MAMBO YA KUTINGA MINING'INIO GARDEN KAMA SI MCHANGANI NDO YALE MAMBO YA SOX KUVUKA KIATU CHABAKI;)...kiatu kinanaza mchangani wahangaika kutoa ubandue soli bure

hebu wadau TUUNDENI JINA LA FLATS SHOES KI-8020 plz
xoxo

REDDS......NDIYE AKUPENDAYEEE

                          HAWA WADAU  TUKIWA TUNAELEKEA SIKU YA WAPENDANAO....KINYWAJI CHA REDDS  NACHO KINAKUPA NAFASI YA KUFURAHI NAWEWE KATIKA MWEZI HUU MAHSUSI WA KUONESHANA MAPENZI  a.k.a MALOVEEEE 'MAMBO YA VALENTINE'

NTAKACHOFANYA.......ILI WEWE UWEZE PATA NAFASI YA KUFURAHI NA ZAWADI ZA  REDDS MWEZI HUU.....NIANDIKIE COMMENTS AU EMAIL via shamyomy @yahoo.com NA NIAMBIE UMEJIANDAAJE KUSHEREHEKEA VALENTINE YA MWAKA HUU.....ATAKAENIGUSA NITAMPA ZAWADI TOKA REDDS................NASEMA  TENA MWEZI HUU NI MWEZI WA REDDS......
AKUPENDAYE REDDS ORIGINAL..



utumapo comment usiache niandikie id yako ambayo itanifanya mimi nikutambue wewe bila chenga
vigezo na masharti kuzingatiwa

FASHIONISTA JOYCE!!


                                                     KATOKA NA MAPIGO YA KIHINDI....chezeeee

Tuesday, February 1, 2011

BACK TO AFRIKA B2A


ANAULIZA....KUFUNDWA NI UHUNI?!!

                                                                Pole na kazi dada
Nahitaji kujua mtizamo wa wengi kuhusu swala la kufundwa hasa mambo ya ndani hata viuno ikiwezekana.Mm napenda sana kujua utaalam wa hayo mambo hila wengi waekuwa wakiniambia kuwa eti mpaka uwe unaolewa au la sivyo ni kujifunza uhuni.Lkn kwa upeo wangu binafsi mm nina nia ya dhati kujifunza.na pia ningependa kupata ushauri,contact au hata kujua gharama za ufundaji.

ANGALIZO.....LA KUVAA FLATS SHOES KWENYE SHUGULI!!

kuna mdau akataka kujua je ni lazima kutinga high heels kwenye shughuli nene, hata kama hujiwezi

                                                     
 HUYU NI SUPER STAR Natalie Portman....AKIWA NA FLATS JUU YA RED CARPET  HUKO MAJUU


MTAALUM WA MASUALA YA MITINDO ANASEMA HIVI

There's a reason most women submit themselves to the tootsie torture of five-inch stilettos. Who can deny the leg-lengthening magic or the boost in confidence you get from those killer pumps? But is it the only way? Maybe not! According to style expert Milena Joy, there's another side to this shoe story.
"You won't feel confident or sexy if you can't walk properly or your feet are wedged into a narrow heel," advises Milena Joy. We agree, there is nothing attractive about being the gimpy girl. As much as it pains us to admit it, "If a flat suits your comfort level and style, it's the best option for you," says Milena Joy. After all, "You'll walk taller and look more elegant in a pair of shoes that make you feel great from head to toe."
So what are your best options for a night out in flats? "Try a ballet flat or a light strappy sandal with some embellishment like Swarovski crystals." Our favorite option? These adorable crochet oxfords that'll look fabulous come spring.
As for the rest of your outfit, our fashion guru recommends wearing a short dress to lengthen your legs, just like Natalie Portman.

Turns out whether you're knocked up or not, fancy party flats are perfectly fitting!


HIVYO BASI UNASHAURIWA KAMA HAUKO COMFORTABLE NA MNING'ING'INIO...VAA ZAKO FLATS ZA UKWELI ZENYE SWAGGA UNATOKA PINA USIJITESEE SHOST,UNASHAURIWA TU UKIVAA FLAT SHOES UVAE NGUO FUPI KUREFUSHA MIGUU AU UKIVAA SURUALI HAKIKISHA KIATU KIWE KINAHUNGULIA.

                                         HEBU JIPATIE PICHA NA KITU KAMA HICHI

                 AU HICHII....TENA HIKI KIPO AROUND NI HAPO VIATUZI  SEA VIEW, UPANGA KITU CHA COLOR COMBO...HALAFU MWENYEWE UNATEMBEA NA MACOMFOOOO YOOOTTEEEE.

ZULFA KITCHEN PARTY!!

BRIDE::ZULFA
VENUE::RUSSIAN CULTURAL
COLOR::RED & BLACK
DESIGNER::KHADIJA MWANAMBOKA







          NILIPENDA IDEA YA JIUGONJWA HII NI MPYA HII mi sijawahi pishana nayoo
                                                         
                              Upande wa KIUMENI walitinga white.....wengi waligusia vivazi vya kiethiopia...INANOGAJE?!!