.Wadau naombeni mniambie siri za kuwa na boobs nzuri.(MATITI)...zangu sizipendi nimeshatumia tablet na cream za[breastactive]enhancement zote nipamoja /njingine ni mamonite pills. /perfect women enlargement formula [cream ] toning and firming complex. si umeona my shosty nimemaliza zote wapi so please my dear nipe siri
Sunday, February 6, 2011
NIGERIAN WEDDING!! Nollywood sweetheart Dakore Egbuson
| KAMA MTAZAMAJI WA FILAMU ZA KINIGERIA LAZIMA UTAKUWA UMEKUTANA NAHII SURA....ndo kizazi za kina Inni Edo na Genevieve |
mapambo yalisimama Orange ilitawala!!
| hapa mi chichemiiiiiii |
| sandakaraweeeee....mwenye kupata apateeeeeeee |
| bila shaka haya ndo madini ya kwao!! wanayathamini saana |
| blue nayo ilishika hatamu kwenye utamaduniii |
| PICTURE::THANK BELLA NAIJA |
Thursday, February 3, 2011
NAWAONJESHAAA!!
MAPAMBO YALISIMAMIWA NA MONICA WA FM EVENT.....ANA KITU CHA STAGE ANADAI ANAIFUNGA UKUBWA WOWOTE KWA SHUGHULI ZA NJE KAMA GARDEN AMBAZO HAKUNA STAGE
JUICE ZILIZONYWEKA SIKU HIYO NI TWIST.....TWIST NDO YENYEWEEEEE BIBI KATIKA SHUHULII.....IJARIBU LEO ANGALIA IPI UTAPENDA KILA LADHA IPO DUMBUKIA
MADINIII YALISHIKA HATAMUUUU
AFRICAN TOUCHES....zilikuwepo za hatariiiiiiii
ENDELEA KUZUNGUKIA KIJIWE
VALENTINE SPECIAL OFFER @ CHOCOLATE PRINCESS
| I TOLD U.....mnyama si chui na pundamilia tu...hata kenge nae yumo ;) |
Special Offer kwa wakina dada wakijanja waendao na wakati kwa ajili ya Valentine fika duka la Chocolate Princess Boutique lililopo Mikocheni TALK OF THE TOWN..
Mawasiliano piga +255 712 020272..
Subscribe to:
Posts (Atom)












