Tuesday, April 5, 2011
MISS ME?!!
I MISS U TO ;)
MWAYA NILISAFIRI NIKIJUA HUKO NIENDAKO NITAENDELEZA LIBENEKE NIKACHEMSHA ....BLOG HAZIFUNGUKI....BUT IM BACK.....NA MAMBO MAPYAAA.....KUANZIA 8020FASHIONS DUKANI HADI BLOGUNI.....USIBONYEZEEE KIDUDEEE
XOXO!!
Monday, April 4, 2011
K.K.W.....MOTIONS PRODUCTS
KIZURI KULA NA WENZIO.....leo nawaletea MOTION..nayo ni product iliyojitosheleza kuanzia kukuza nywele hadi kuzirepair pamoja na kuzimaintain...kama inavyoonekana pichani kuna package kubwa ya kifamilia zaidi(inapendezaje mama na wanao mnatumia motion) na hata ya kibiashara kwa watu wenye saloon....na MAMBO HAYA YOOTE MAZURI UTATAPATA SHEAR ILLUSIONS...KATIKA MADUKA YAO YALIYOPO MLIMANI,MILLENIUM NA ARUSHA
Sunday, April 3, 2011
MSHAURINI PLZ
tafadhali naomba wadau wanisaidei mimi nina uso wenye mafuta mno, yaani kama kitimoto!will u advice me the good product for my face?
Yaani napata shida sana maana hata poda nikipaka haikai kwa muda imeshayeyuka inabidi niwe najifuta kila saa. Pls nisaidie mwenzenu.
Yaani napata shida sana maana hata poda nikipaka haikai kwa muda imeshayeyuka inabidi niwe najifuta kila saa. Pls nisaidie mwenzenu.
Friday, April 1, 2011
UNYAYOOOO WA 'CL'......kitu mahsusi kwa Bi harusi
![]() |
| Nimesikia JIDE ameingia mkataba na CHRISTIAN LOUBOTIN awatangazie viatu vyao bongo hongera bi dada **ilikuwa siku yenu wajinga** wink ;) |
Subscribe to:
Posts (Atom)



