Tuesday, May 3, 2011

SOLANGE WE!!

                                                       Solonge swagga zake bwana....ka mie ;)
mnasonyajeee?!!

MY RIRI....kitu cha lace

MWAMVITA & SUZAN 4 Fortune Most Powerful Women Summit

Kila la heriii Mwamy
 Suzan Mashibe

Washindi wawili wa Tuzo za Wanawake Wenye Mafanikio Tanzania (TWAA) Bi. Mwamvita Makamba  na Bi. Suzan Mashibe wamechaguliwa na serikali ya
Marekani pamoja na kampuni kubwa ya Fortune Most Powerful Women Summit kushiriki kwenye program iitwayo Fortune/U.S State Department Global Women Mentoring Program inayohusishwa wanawake wanaoibukia kwenye uongozi kutoka nchi zinazoendelea wakikutanishwa na wanawake wenye mafanikio makubwa sana kutoka kwenye makampuni na mashirika makubwa ya marekani kwa ajili ya mafunzo ya kuboresha uongozi.

Monday, May 2, 2011

WEEK END HII NILIKUWA ARUSHAAA......kikazi zaidiii

  kilichonipelekaaaa nitakuneosha hapa hapa we nenda kazuge zuge huko kisha urejeeeee.....nilijinywea zangu chai kwa karotiiiiiiiiii (dogo Janja voice ;) .......)
                                                      NIKAPITA NJIRO COMPLEX........NDANI YA
                                                         SHEAR ILLUSSIONS


 watu wa arushaaaa mna bahati mambo mazuriiii hayooo ndani ya shear  kajisevieniiiii


KUNA PERFUM ZA UKWELI.......KUNUKA KIKWAPA KUPENDA JAMANI PERFUM ZA KIKE KWA ZA KIUMEEEE......HATA KWE WENYE ALLERGE WANA ZA KWAO AMBAZO HARUFU YAKE IMETULIAAAAAA.......PERFUM HIZI SI ARUSHA PEKEEE.......ni katika maduka yoote ya SHEAR ILLUSIONS HATA YA HAPA DAR ES SALAAM......mie nishatoa K.K.W

HAPPY BIRTHDAY MONICA......Mama JJ

                                                         enjoy ur day my sistooooo!!

Sunday, May 1, 2011

NAWAONJESHAAAA!!


                                    swagga zilikuwa zakikhalat khalat bibi........

                                                         Gereee mamaa geree ......ilikuwa LIVE
                                             ILIKUWA NI MWENDO WA MAPOUND TU
                                               DIVA Ashura NDO ALIKUWA stelling

                                    Pachi ikosekanaje...na tena ilisimamiwa na Yasmin Mama ya London
                             wajua  kucheza warumba weyeeeeee.....warumba ni zaidi ya nyonga bibi weeee, watu wanagaragaraa......wanasota na matako, wanatoa style ya mkuno wa naziii (inakupa alama ya kuuliza hii eee ;)....mradi tu rahaaa nilijionea mwenzenu...kibao kata nacho kilikuwepo lakini

mna hamu eeee......kolezeni naziiiiii ;)

VODACOM MISS TANZANIA YAZINDULIWA!!

1  
                       TWENDE KAZIIIIIIIII MPAKA KIELEWEKEEEE.......PATA UWEZ ZAIDIIIII