Wednesday, May 4, 2011

kutoka Majuu .....RED CARPET


WANASEMA SHOST GAUNI LILIMBANA KIASI KWAMBA ILIBIDI BWANA ASICHEZE MBALI ILI KUMPA SUPPORT ILI AWEZE RUKA HATUA......
 swagga hizi naambiwa mapaparazi walikuwa wanamzomea



MWAMVITA & SUZAN NDANI MJENGO MWEUPE

VODACOM YATINGA LOLIONDO KWA 'BABU'

VODACOM YAZINDUA HUDUMA YA M-PESA LOLIONDO KWA 'BABU'
DC AKIZINDUA HUDUMA
BABU AKIKABIZIWA SIMU

Tuesday, May 3, 2011

kate's PERFUM......WHITE GARDENIA PETALS

HICHI KITU NDO ALICHONUKIA BI HARUSI KATE......SIKU YA ROYAL WEDDING....nikagulieni wadau wenyewe kama chashikikaaa

LOAFERS.......ndani ya Bongo ;)


                     ukizicheki kama mokasini eee....lakini ndo swagga.....wapi fashionistaaazzzz

SALAMA KITCHEN PARTY

EVENT::KITCHEN PARTY
BRIDE::SALAMA
THEME::AFRIKAN (BACK TO AFRIKA)
VENUE::BEIJING









                                                           JIUGONJWAAAA!!!


                     MC KIDEEE......akifanya vitu vyake anapagawishaaaaa.....WEeeee wambeyaa Mpoooo


NILIVUTIWA NA huyu dada  na TENGE LILISHONWA NA KIKHALAT zaidi



MADIINI MAMA MADINIIIII WIFI MTU ALITOA MADINI KWA WIFIYEEEEE...... KITU CHA YELLOE NA WHITE GOLD CHEZEYAAAAA
                                                         


                             KAPU LA MAMA .....HILO....lilisasambuliwa kwa style

                                              akaja wifiiiiiiiii.....tena na sasambu sasambuuuu....chezeeyaaa
RED CARPET!!

                                meet new blogger hapo kulia ....ye ni DAKTARI WA MAUGONJWA YANGU ;)