Wednesday, March 31, 2010

Tuesday, March 30, 2010

NICE BIRTHDAY PARTY

Wow!! nimependa saana hii IDEA YA JIUGONJWA KUTENGENEZWA KIATUUUU
Birthday Girl Nice Chande....
naona kulikuwa na sare kabisaaa

WAKIBARIZIII

MACELEBRITY WA BONGO WAKIPATA NAFASI WANAKULA BATA ...WANAZILA HASWAA HII BIRTHDAY PARTY ILIFANYIKA NDANI YA BOTI HUKO BONGOYO KWA PICHA ZAIDI MTEMBELEE
RAY THE GREATEST

ANGALIZO!!

Hii nimeipata kwa Nuru the Light "Trend Alert" Katika pita pita katika facebook picha za marafiki nikakutana nayo na picha ya Monica (Mama JJ) akiwa ndani ya Navy tailor stripes
....Imenivutia kwa kuvaa kama mtoko wa casual. Watanzania sasa hivi nawaaminia.Nitumie picha yako kama unayo. Yaweza kuwa Chupi, Gauni, Tai za kina kaka n.k

Nitumie ANGALIZO....pitia shamyomy@yahoo.com au shamyomy@gmail.com

JINSI YA KUTUNZA USO WENYE MAFUTA


The first basic rule for oily skin care is to keep it clean so as to kill acne-causing bacteria. It is essential to unclog the pores with exfoliation to prevent breakouts.
ZAIDI INGIA BONGO UREMBO UREMBEKE

Monday, March 29, 2010

REHEMA KIBAO KATA/NGOMA BAIKOKOOO!!

BRIDE::REHEMA MKAMBA
EVENT::KIBAO KATA
DRESS CODE::DIRA JEPESIIII


Bi Rehema akiwa amezungukwa na asuminiiii...anasema ye kaoshwa na mpenda penda kila akienda apendwaaa
MAKUNGWI WAKIMUINGIZA BI HARUSI UKUMBI!!

sijui mmeona vikuba?!! wink mlinifundisha wenyeweee
Bi Harusi wetu akijifuaa....kuelekea siku yake ya harusiiiiii...CHEZEEE
HII NDO NGOMA BAIKOKOOO...KINA DADA HAO WAMESIMAMA KIUNO KINAONGEAAA
MASHAALLLAW!!!


RAHAAAA JIPEE MWENYEWEEEEE
Hamida Mama wa Sarakasiiii

Bi harusi unaonaaa...unatakiwa ufanye hiviiiii.....wink
HAWA wazungu sijui ni Mashemeji zetu toka Denmark....niliwakuta wameshaingiaaa
Ukiambiwa Mwanamke Nyonga makalio majaaliwa muamini nilijionea kwa huyu mama...wish ningekuwa na moving camera....lol
Watoto wa Muji kasoro Bahari tuliwakilishwa na Mama MONO accesories, Fina Bi harusi wangu na Elizabeth Kobelo



watu walikuwa kama wako kwenye TRENI....mara hujakaa sawa Sambusa, mikate, supu, ukiingia kungu...tukamalizwa nahilo jisupu....ndo milo ya kibao kata hiyo

Tashtiti za Asuminiiii mambo ya Mwambao haya


RED CARPET










Ah Bilal Hassan Seduction! Seduction!
We Sanura weee all ze way from DENMARK....hi sharifaaa umemiss Mama eee?!!!






Naandaa picha za kitchen party....ENJOY!!!