

MTOTO WA KIKE NYWELEE!! NA HASA UKIWA NAYOOOOO
LULU HAO WAMESHUSHA MZIGO MPYA . KWA WALE WATARAJIWA UKUMBI NDI HUO NGUO ZA HARUSI. WASIMAMIZI HADI SUTI YA BWANA HARUSI NA MASHATI YAKE KILA RANGI































NIMEPENDA UA ALIVYOCHEZA NA RANGI !!
HAWA NAO NAHISI KANISANI HAWATAKIWI INGIA MABEGA WAZI...CHEKI MAID WALIVYOTUPIA MITANDIO.......NA UKUMBINI WAKATUPA KULE

TANGAZO LA KAZI
Je unauzoefu wa kuuza nguo? sisi tunauza nguo za West Africa za wanawake na wanaume, tunatafuta watu wenye elimu na uwezo wa kuongea vizuri na wateja, watakao enda kwenye maofisi na sehemu za starehe kuzungumzia nguo zetu. Kwa maelezo zaidi tupigie simu 0658404088
Asante sana