Monday, May 31, 2010

HAWA PHOTO SHOOT


HAOOOOO NDANI YA UJERUMANIIIII

EVENT::NDOVU SPECIAL MALT.... GRAND GOLD AWARD
VENUE::KURHAUS ,WIESBADEN
DRESS CODE::FULL NGWAMBA

TANZANIA WAAA WIIII WOOOOO!!!......
Bw. Edwin Gafa, kiongozi wa msafara wa Nile Breweries ya Ugandakushoto ambao wamepata tuzo ya kushiriki mara nyingi kwenye Monde Selection.....YETU YAJA...ENDELEA KUZUNGUKA HUMU HUMU UTAIONA SI UNAJUA TUNA GRANDE GOLD
HIZI NDO BAADHI YA BIA ZILIZOSHINDANISHWA NA NDOVU SPECIAL MALT.....Ukipepeza macho kwa makini mnaweza ona hapo na za nyumbani zilizosindikizaa
NA HUYU NDO MPISHI MWENYEWE AKIKAGUA MEZA AONE JEEE AZIDISHE NINI APUNGUZEEE ILI AZIDI PIKA VIZURIIIIII
"ZOTE HIZOOOO TUMEZIGARAGAZAA...TUKO JUU"
"NA HII NDO NDOVU ILITULETA HUKUUU"
UKUMBI ULIPENDEZESHWA HIVI
Hivi ndivyo walivyoanza safari..... Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo akiongozana na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Brew Master)

Friday, May 28, 2010

INGIZO JIPYA ......ZINAPATIKANA 8020 FASHIONS

BANGLE ZA ANIMAL PRINT ZIMEKUJA KUBWA ZAKE ...price 5-10 alfu
NA HANDBAG......KILA RANGI ZIMEWASILI price 65-40 alfu



NDOVU SPECILA MALT IYOOOOO!!


NDOVU SPECILA MALT IYOOOOO!!
NI ILE BIA YA NDOVU SPECIAL MALT ILIYOZINDULIWA MWAKA JANA MWEZI WA SEPTEMBER HII IMETUZWA TUZO YA GRAND GOLD .

MENEJA WA BIA OSCAR SHELUKINDO NA DAVID MINJA AMBAYE NI MENEJA MASOKOWANAELEZA KUWA HIYO NI TUZO YA JUUUUUUUUU BAADA ILE YA TUZO ZA KAWAIIIDA AMBAZO BIA ZINGINE ZA TBL ZISHASHINDA

MPISHI MKUUU 'THE LEGEND BREW MASTER" GAUDENCE MKOLWE AMBAYE NDO HASWAAA ALIYEIPIKA BIA HIYO IKAPIKIKA ANASEMA NDOVU SPECIAL MALT ILISHINDA BAADA YA KUWAKUNA WAONJAJI KWA ASILIMIA 90-100.....KWANI CHINI YA HAPO NDIO HUPEWA BRONZE,SILVER NA GOLD.

KWA TUZO HIYO WAHUSIKA WAKUU AMBAO NI BREW MASTER MKOLWA NA MENEJA WA BRAND HIYO OSCAR SHELUKINDO WANAENDA NCHINI UJERUMANI ILI KWENDA KUKABIDHIWA TUZO HIYO AMBAYO NI YA JUU NA MARA YA KWANZA KWA BIA YA NDOVU SPECILA MALT AMBAYO INA CHINI YA MWAKA TU TANGU IZINDULIWE
ANATAMBULIKA KAMA 'THE LEGEND BREW MASTER' MPISHI HASWAAA WABIA YA NDOVU SPECIAL MALT MR G MKOLWE
OSCAR SHELUKINDO, MENEJA WA BIA YA NDOVU SPECIAL MALT
DAVID MINJA MENEJA MASOKO TBL...AKITANABAISHAA MAMBO YA TUZO YA GRAND GOLD
NA HAWA NDO HASWAA WATAKAOIFUATA TUZO IYO NA UKITAKA KUJUA WANAIPOKEAJE POKEAJE TUZO BIA ZIPI WALIZOSHINDANISHWA NAZO... SWAGGGA WATAKAZORUDI NAZO TOKA HUKO UJERUMANI USIACHE PITIA PITIA HAPA KIJIWENI 8020 FASHIONS ILI NAWE UWE LIVE NA NDOVU SPECIAL MALT KAMA UKO UJERUMANI


NDOVU SPECIAL MALT TO RECEIVE THE GRAND GOLD QUALITY AWARD 2010 IN GERMANY.

A few weeks ago we informed you that Ndovu Special Malt won a Grand Gold Quality Award 2010 from the prestigious Monde Selection, an International Body established in 1961 with the aim of awarding medals for quality to different categories of foods and drinks from various countries; beers being among them.

These awards are of four types, Bronze Award, Silver Award, Gold Award and Grand Gold Award, this being the ultimate beer rating by professional tasters of 90 to 100%,the perfect beer.

In winning a Grand Gold Quality Award, Ndovu Special Malt has only clarified what most Tanzanians have known about the beer since its launch on the 31st of September 2009.
Its taste and quality cements it as truly Tanzanians Premium Lager of choice.

It is with this in mind that we inform you that the award Ceremony will take place in Wiesbaden near Frankfurt Germany on the 31st of May 2010.

The Brew Master Mr. Gaudence Mkolwe and The Brand Manager for Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo are scheduled to be at the 2009 Monde Selection in Wiesbaden Germany to receive the award on behalf of Tanzania Breweries and all Tanzanians.

The journey to Germany will be catalogued in various Tanzanian blogs and the return to Dar es Salaam on the 3rd of June 2010 is expected to be a big welcoming event.

Ndovu Special Malt has been recognized in a world forum of many beers and given the highest award possible, all Tanzanians should be proud of this achievement, Tanzanians are enjoying this brand in mass as they know what quality is.

Thursday, May 27, 2010

WANJA WA PIKO

SINA UHAKIKA WA WANJA HUU ULOPAKWA HAPA ILA NILITAKA KUWAJUZA MASHOSTI MBALI NA ULE WANJA WA TATUU AMBAO WADADA WENGI MJINI WANAUCHORA...KUNA HUU NIMEAMBIWA WACHA WAPIKO...UNAAMBIWA UNAENDA CHORA PIKO AMBAYO INAKAA WIKI NZIMA ...kizuri nala na wenzangu kibayaa tupa kule kwa mbwa

GENEVIEVE MAGAZINE

IMEWAKUSANYA MASUPER STAR WA MOVIE WA NIGERIA NA KUWARUSHA FRONT PAGE...HAPA NAAMBIWA ALITAKIWA AWEPO NA OMOTOLA MY FAV. KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO HAKUTOKEA......MAMOVIE STAR KINA DADA MPOOOOO NTAFURAHI NIKIWAONA KWENYE SHEAR, BANG, FLARE au KITANGOMA





PHOTO SHOOT INAKUWA PHOTO SHOOT HASWAAAA

PICHA::thanks BELLANAIJA

Dear all Tanzanians


I, as a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 1,400 to 1
US$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians for:

0)Buying gucci,lv,Jimmy choo,ck,ch designs instead of Tanzania design ie VVK,MANJU,FABAK,AILINDA SAWE,MUSTAFA,TMH etc......wink hii haikuwepo nimeiadd

1) Using Chinese toilet paper rather than Rexa or Tanpack...

2) Buying ice cream made in Kenya or South Africa rather than Azam

3) Using Omo rather than Foma

4) Eating Heinz baked beans rather than Dabaga or Red gold

5) For using Shoprite as your favourite shopping destination since "expired" South African goods are better than Tanzanian products

6) For using Anchor butter/cheese on your bread rather than ASAS or Serengeti

7) For using Colgate and Close up as they make your teeth brighter rather than Whitedent

8) For drinking Heineken and Red Bull rather than a good old Kili....its a matter of image in it!

9) For drinking St.Anne, Namaqua and Overmeer than Dodoma wine

10) For using Farmer's choice sausages than Beef Vienna from Arusha

11) For using Kangaroo matches than KIBO match .....and the list goes on....

Come on guys wake up....Its time for a change......BE TANZANIAN BUY TANZANIAN.... And a request to the expatriate
community...especially South Africans...please change your mind set and help Tanzania grow by supporting local products...

Pass it on to all y'all true Tanzanians.
-- "B POSITIVE & THINK POSITIVE"