Wednesday, June 23, 2010

MJADALA::SHEREHE ZA KUDAI TALAKA a.k.a TALAKA PARTY!!

NA HAYA NDO MAUGONJWA YANAYOLIWA SIKU IYOOO


LOL!! SIKU MBILI HIZI NIMEKUWA NIKISOMA NAKUSIKIA JAPOKUWA BADO SIJAHUDHURIA...ILA KUNA MOJA NIMEAMBIWA NITAALIKWA....sijui kweli ipo au utani cos sitaki amini maana na sare inaandaliwa.....wink


SHEREHE YA KUDAI /KUKABIDHIWA TALAKA NA WENGI WANAODAI KUIANDAA NI WANAWAKE NAAMBIWA KAMA AMBAVYO ULIFANYA SHEREHE YA KUOLEWA NA SHEREHE YA TALAKA LAZIMA IWEPO BIBI...SHURTI BENBAT LIWEPO...KAMA RUSHA ROHO  WATU TURUSHE


WAKATI BADO NASUBIRIA MOJA IFANYIKE LEO KATIKA PITA MTANDAONI NIMEKUMBANA NA HII HABARI...LAKINI HII INAFANYIKA HUKO TOKYO,JAPAN AMBAPO WANASEMA ZISHAFANYIKA KAMA 25 HIVI.... AMBAPO KAMA MMEFIKIA UAMUZI WAKUTENGANA BASI MNAKAA NA VIKAO VYAFANYIKA NA KADI MWAGAWA NA SHEREHE ZINAUNGURUMA ...ZAIDI INGIA HUMU DARHOTWIRE cheki iyo video uone wanavyofanya pete na picha zao...wink

MAMA SHUGHULI think of any theme idea...wink


JE WE WAIONAJE HII SHEREHE  MDAU IMEKAA SAWA AU TUIPOTEZEE....

NEW ARRIVALS.......@ MIMI'S COLLECTION


MIMI'S COLLECTION WAUZAJI WA NGUO ,VIATU NA MAPOCHI KUTOKA MAREKANI NA UTURUKI...SASA WAMESHUSHA MZIGOOO WAUKWELII KWA MAVAZI YA OFISINI NA MTOKO KWA  WANAWAKE WA SIZE ZOOOTE(mcheki model utakubaliana nao) NA WANAUME NAO KUNA MASHATI SURUALI BOXER NA VEST
WANAPATIKANA:: KATI YA KONA BAR NA HONGERA NA MWENGE KIJIJI WANAANGALIANA NA TRA MWENGE
MAWASILIANO::+255 715 88 77 70

 ZA MTOKO...KWA SIE WASTYLE ZA MAMA OBAMA....WASAFI NA WATANASHATI




ZA OFISINI KILA SIZE...PLUS MODEL SIZE...MPOO?!!




WA SIZE NDOGO MSISITE KUTUTEMBELEA TUNA SIZE ZENU PIA

                                    HANDBAG ZA MAOFISINI NA MTOKOO ZINAPATIKANAA


VIATU PIA TUNAVYOOO






MAMBO YA OFISI HAYA USHINDWE WEYE
MITOKOO NDO KWENYEWEEE

                                               VIATU VYA KISASA ZAIDI
WANAUMEEEEEE....MAMBO YENU YAKO TELE...MPENDE SHEMEJIIII

Enjoy shopping with Mimi's Collection

MISS REDDS ILALA

       WALIPOZURU KWA SPONSOR WETU......KILA LA KHERI WATOTO WA ILALA
picha::thank Mtaa kwa mtaa

Tuesday, June 22, 2010

HAPPY BIRTYDAY NURU THE LIGHT

                                  HONGERA NA ENDELEA KUTUANGAZIA MPENZII.....

SALE! SALE! SALE...@LULU FASHIONS

LULU FASHION WAMEANGUSHA SALE YA MWAKA NI NUSU PUNGUZO...HIVYO WAHI MAPEMAA UKAJIPATIE.....NGUO YA MTOKO ,SUTI ZA OFISINI NA VIATU BOMBA WAHI KABLA HAVIJAISHAAA
KUONA MAPIGO YAO ZAIDI INGIA
WANAPATIKANA::KINONDONI MUSLIM
MAWASILIANO::0716 83 27 27
                            ::0713 61 15 33


Enjoy shopping with lulu fashions

JAMILA'S KITCHEN PARTY

BRIDE::JAMILA
VENUE::OASIS HOTEL.MOROGORO
COLOR::BLUE & GOLD
SOMO::IRENE MAMA MONO ACCESORIEZ na kati ya kariakoo
PICTURE::AR TALAWEN 'MUTU YA WATU'
MC::GEA HABIB



                                                              JIUGONJWAAAA....
                                                                 Yam! yam! yam!
                        Mambo haya yoote yalisimamiwa na safina Kungulilo...amini Mamaa wa mkoa

                                                  MC WETU ALIKUWA GEA HABIB....

                                                         somo akimpokea mwali wake

Nami nilituzwa ati!!

Ushoga kazi...mashost walini2nza...thank u galfrindz
                    HAHAHAH mnatishaaa na head band zenu...UMEZIPENDA ZIPITIE 8020 FASHIONS
Sanduku nalo likasasambuliwaa....na Mamaa Zamda wa Ilala...kupenda aaa wamependezeanaa
somo nae alituzwaaa bibi
                                      Dada wa Hiyari...Fina wa mkoa ndo aliandaa KAPU

                                           KAPU  LIKASASAMBULIWAAA!!.....ushaona kapu lasasambuliwa we...mi ndo niliona kwa mara ya kwanza mambo ya  Zamda  ''mtoto wa ilalaaa'
                                    Haya kaeni kitako nioneshe mambo......Maneno ya Zamda Hayoo
                                                        kuna naziiii
                                              sukuma chapati.....shurti kiuno chaenda
twanga na kinu bibi....LOL ilibidi nikamtunzeee...mambo hayaa nayatengenezea video wooote mpate somo kwa kuliona...'kizuri nala na nyie kibaya natupia mbwa'
                                                               mzigo wako huu
 
                              mwenyekit Halima ...Mama Fai....akikabidhi zawadi za kamati
   hii zawadi kutoka kwa SOMO....mwanamke urembo kadressing Table haka shurt ujipurepure
                                            Somo alimkabidhi kajimzigo special kwa shemejiii
                                                         Bling bling muhimuuu...wink
                                               Dada shurti nilisindikizwa na mashost.....

                                                          RAHAAA JIPE MWENYEWE
                                                     DUARAAAA wa nyuma aenda mbele na wa mbelee
 
hapa ilikuwa ni ALhaji..alaji alaji...ndindididddiii  yyayaaa...Wenye nyonga zao tu!! sie kina KYEKUE        twatumbua macho na kushabikia tu....wink.....
                                             RED CARPET














Somo na mwenyekiti wa Ukweliii!!
Nichukue fursa hii kuwashuru nyooote mliofanikisha shughuli ya mdogo wangu kwa namna moja au nyengine mbarikiwe saana wapendwa

xoxo