Monday, August 30, 2010

MJADALA::MAMA MKWE KUHUDHURIA K-PARTY!!

NAOMBA MNIFAHAMISHE, JE INAWEZEKANA MAMA MKWE (yaani mama wa bwana harusi) KUHUDHURIA KWENYE SHEREHE YA KITCHEN PARTY YANGU? By Glory

KWA UZOEVU WANGU MIMI NAONA WANAOHUDHURIA WENGI NI MAWIFI TENA NAO UNAWAPA KADI TANO ZA KUWAALIKA ,

JAPOKUWA SIKU HZ MAMBO YAMEBADILIKA VICHENI PARTY NDO SENDOFF ZETU, AS WATU WANAUNGANISHA HUMO HUMO, HATA WABABA NA MABWANA HARUSI HUWA WANAHUDHURIA KWENYE KITCHEN PARTY.....hujaona iyooo endelea kuperuzi ntakuonesha hapahapa

EHE WE MDAU UNA MAONI GANI?!!

KUTOKA MAJUUUUU!!




hichi 'KIGODA' ni cha Diamond mamaa ni zaidi ya madini :)...thanks Mama JJ
 madiniii shost madini na hizo bangle kuna tuDimond!!





ARABIAN SWAGGA!!


hapa unatafuta kitu cha skafu/hijab tu juu unatoka mwake...nimegundua wadada wakiarabu /asia wanapenda saana fashino na madesigner wao wanajaribu kuwabunia vitu vyenye swagga za kisasa zaidi hebu cheki hii inapendeza eee

OLAY PRODUCT!!



habarini wadau,mimi natumia product za olay especcially,body wash naomba kama kuna mdau anatumia aniambie huwa ananunua wapi,mi huwa nanunua  mlimani city lakini huwa haziletwi mara kwa mara,natumia olay body wash plus creme ribbons au olay body wash plus body butter ribbons au naomba hata kama kuna mtu yupo nje ya nchi anatumia haswa USA niko tayari kumtumia pesa lakini shamim uwe unajuana naeTHANKS MUNGU AWABARIKI

AFRICAN TOUCH.......KITENGE TEE'z



DESIGNER::RENEE Q from GHANA

REDDS BEACH PARTY

NI REDDS KATIKA HARAKATI YA KUMSAKA BALOZI WAO KUTOKA KATIKA                  KINYANG'ANYIRO CHA MISS TANZANIA.....ungana nao katika kumsaka Balozi

Sunday, August 29, 2010

NIGERIAN WEDDING!!

JIUA SHOST JIUAAA!!
NIMEPENDA ALIVYOVAA VIATU RANGI YA HARUSI,,,WENGI NAONAGA WANAVAA FULL WHITE
SANDAKALAWEEEE.....MWENYE KUPATAAA

PICTURE:: THANKS TO BELLA NAIJA