Thursday, October 21, 2010
KUMBE KUNA CREAM ZA USIKU NA MCHANA?!!!!!
Unaenda kwenye duka la vipodozi unaulizia cream unaambiwa kuna ya usiku na ya mchana....wewe kwa ubahili na kubana matumiz unaamua kununua ya mchana tu bila kujua kila cream ina kazi yake
HAYA ZAMA BONGO UREMBO UPATE DARSA NA TUACHA UBAHILI
BONGO UREMBO
USHAURI
JAMANI KATIKA KATIKA TOPIC ZA USHAURI NIMEKUTANA NA MTU ANAPENDEKEZA MAFUTA YA UBUYU KUWA NI MAZURI KWA NGOZI NA INASAIDIA MARADHI YA PRESSURE JE NAWEZA FAHAMISHWA YANAPATIKANA WAPI NA YANATIBU MARADHI GANI NA GANI NA KAZI ZAKE NI ZIPI TAFADHALI
MHANGA WA MARADHI
MHANGA WA MARADHI
MAMA MBONIE's SUPRIZE BIRTHDAY!!
![]() |
| Haaooooo mida ya 6 unusu tukafunga safari kuelekeatua Bandarini (Kazini kwa mama)na kupata wasaa wa kuiona ile meli ilileta madaktari wa kichina |
Monica wa FM Express akiwa anandaa andaa board room
tulibeba na lunch Box coz ilikuwa mchana (lunch time) , cake , kadi pamoja na maua
Yes.....chakula tulichukua steers
wafanyakazi wenzie wakaitwa board room, offcourse wao walikuwa na habari juu ya ujio wetu
ndo Mama Mbonie akaitwa board room na kukuta watu na tukaanza kuimba happy birthday akidhan ni wafanyakazi wenzie pekeee wameamua mfanyia hayo
kugeuka upande wapili akatukuta kina sisi akadata zaidiakatushukuruuu saana....na muda si mrefu kanipigia simu akishukuruuu tena lol!!
hahahhaahh akamshukuru Aunt sababu ye ndo alikuwa organizer kutokea hapo ofisini alimuahidi kumpeleka lunch kempsyk , ili asitoke,na alijitahidi amtulize hadi sisi tufike na alifanikiwa (hongera kwa hilo maana kuingilia ratiba ya mtu ni kazi)
wote tulipata Lunch pamoja....Inapengezaa ee?Dada wa mbonie nae alifika akiwa amefuatana na cake ,maua na zawadi kwa mama
mama alikuwa anatimiza miaka 55 (utasema 27 ;) mbonie iga hapo
ikatokea miugonjwa ikawa miwili rangi zafanana...ilitokezea tu sio kwamba ni favorire color ya mama wala si rangi za kutimiza miaka iyoooo......AU?!!
kata cake tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
nilisamehe koote lakini hapa nami nikajotokezaaa...Ugonjwaaaaaaaa baby!!! ;)
Pamella aliwamuwakilishaaa Mbonieeee
hadi Big Boss alijumuika nasisi...inapendeza eee?!!
Mbonie huko aliko mcheche haukumuwacha tumalize kazi aliyotutuma akapiga simu na kuongea na mama yake....how lovily...nilisikia mama akimaliza kwa kumwambia ......be goood!!.......yes Mbonie You have to(iyo nimesisitizia mimi)
hahahhaha wamama utawawezaa kumbe walishaandaa zawadi wakamchapa na wax!!!!!wakapata picha ya pamoja .........nasi tukasepaaaaaaaaaaaaaaaaa
......UKITAKA UMFANYIE MTU KAKITU KAMA HAPA UPO AU HAUPO NCHINI NIBEEP NIKUUNGANISHE NA MONICA.....mie mtu wamatukio nitakuwepo kukupa kumbukumbu.......
Wednesday, October 20, 2010
Tuesday, October 19, 2010
ANAOMBA USHAURI KWENU
hellow!
jamani mashostitito naombeni ushauri nifanye nini ili vinjwereo viondoke na nisiwe nanyo tena yaani viondoke kabisa
namani nisaidieni ili viondoke maana ninavyo mwill mzima
Mdau Bongo Urembo
namani nisaidieni ili viondoke maana ninavyo mwill mzima
Mdau Bongo Urembo
Subscribe to:
Posts (Atom)























