Monday, November 29, 2010

FAITH KIBAO KATA


BRIDE::FAITH
VENUE::LILY'S BAR
SARE::DIRA JEPESIIIII
SOMO::NYOTA WAZIRI
BURUDAN::KIBAO KATA & RUSHA ROHO
                                                  
                                           ilikuwa ni mambo ya kulainisha nyonga, huku tukimpa mwenzetu mautundu na maujuzi na wengine tukachukua kiduuuchuuuuuu....mwanamke shutuuuuu kivazi chepesiiiii cha kuwaka ...asimin na udiiii bibiiiiiiii....HOOOOORIYAAAAA


BAADA YA UNO MTOTO AKAENDA SINGWAAA AKARUDI SHWA TENA UKUMBINI...SOMO NYOTA ANA KASHDA..... mie choooka

ukiwa somo wapambe muhimuuuu bibi....uwe somo shost huna utashea vipi MAUJUZI
                                                                      tashtitiiiii

                        HII NI STYLE YA BI FAITH ALIYONGIA NAYO UKUMBINIIIII.....nilistuka
 bibi we bi harusi aliingizwa kwa style yake HAPO MAUNO NDO YALIKUWA YANATEMBEA USHASIKIA KUTEMBELEA MATAKO WEYE?!!.......
kwanza alikuja oneshaaa uno kwamba kaivaje...chezea Somo Nyota waziriiii....mama wa gereeee  gere mamamaaaaa...gere mama wanatuoneaaaaa
                                             KINA KYEKUE.....mambo iko hukuuuu ;)
huyu mama wa nguo ya pink alikuwa anahamasisha wadada wachezee anawaambia nyie wa google na facebook kucheza hamjui kutwa mnachat......MTAKAAA HUMO!!

                                                  BIBI KIDUDE AKAINGIA mzigoni mwenyeweeee


                           KIM K akajipendekeza BI K wacha AMU OUTSHINE kwa maunooo ;)
                                                 chezea bi Kidudeeee maunooo hadi chiniiiiiii




                          kim K na twin wake...Jasmeen shost wa BI KDUDE wenyewe walivaa sare sare....... ushoga kazi



ANIMAL PRINT!!.....

Sunday, November 28, 2010

KAHAWA!! KAHAWA!!,,,,,,,ile kiboko ya kitambi cha Gadna

WAHI SASA JACKZ ,KUODA PIGA NAMBA 0713 577 777


Jina ndio kama unavyoliona, inaitwa Coffee tu.
Zifuatazo ni hatua za kawaida sana za jinsi ya kuitengeneza

             Ndani ka Kopo moja kuna pakiti ndogo ndogo 26, ila unatakiwa unywe paketi moja tu kwa      siku.................

                                      Fungua pakiti moja weka kwenye kikombe

                                     Muonekano wa kahawa yenyewe iko hivi

                                       Weka maji ya moto kwenye kahawa

                             Kisha koroga bila kuongeza kitu chochote, usiweke maziwa wala sukari

                               Baada ya hapo unakunywa tu ina ladha nzuri na laini.

Vitu muhimu vya kuzingatia katika utumiaji wa kahawa hii ni:

Usiweke sukari wala maziwa.
Pia katika utumiaji wa kahawa hii kuna umuhimu sana kuwa na nidhamu kwenye swala la chakula, sio unakula ma mikaango tu kisa kuna kahawa,

Mwisho unaweza usione matokeo yoyote mazuri.
Unatakiwa kula matunda mengi, maji mengi, mboga mboga kwa wingi
Na epuka vyakula vyenye mafuta na usile wanga usiku.

Michemsho ruksa, ila kwa kiasi tu, sio unafundiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia

Jackz Cosmetis ni duka la vipodozi lililoko Kinondoni kwa Manyanya karibu kabisa na Stand ya mabasi, ukipita tu utaona duka linang'aaaaaaaaa.
Ingia upate Coffee na vipodozi.

Kwa mawasiliano piga namba 0713 577 777, kwa wale waliopo Dar es Salaam kuna huduma ya kuletewa popote ulipo kama ukitaka.

Nitatoa menu ya siku 7 unayotakiwa kula wakati unatumia kahawa hiyo, ukiifuatilia kwa makini mambo yako yanaweza kuwa super

Kila Kheri


SHUKRAN::KWA JIDE ALIYEIGUNDUA HII KAHAWA NA NDIO HASWA ALIYEITOLEA MAELEKEZO BAADA YA KUISHUHUDIA MATOKEO YAKE.

TMH ANNIVERSARY








                                                             hadi viduku tulichezaaaa
                                                 WATOTO WALIONDOKA NA ZAWADI
DOUBLE TREE WAKIKABIDHI MISAADA ILIZOKUSANYWA NA KLM.


                WADAU MBALI MBALI WALIOFIKA KUJUMUIKA NA WATOTO HAO


                        mambo ya 'MNYAMA' Maimuna  ana yake.....Marsha nae ana yakeee

                                                          





FARHA ANA SWAGGA NILIGUSWA NA HII TISHIRT AMBAYO INA BATIKI INACHUNGULIA....ubunifu ndo huu

                                         Hahahhahah Kimora Lee alipokutana na Aoki ;)


 WASHIRIKI WA BSS WALIKUWEPO KUUNGANA NA WATOTO....HUYU SHOST NDO YULEEE ANAYETUSHA NA MAMBO YETU YALEEEE YA MWAMBAO WA PWANIIII


 GAGA ALIKUWEPO .....NAONA ANA KITU CHA SHRUG aka Bella style.....umeipenda...pitia yako 8020 FASHIONS