Sunday, January 30, 2011

LEO TENA WATINGA MIAKA 7

NI VILE VIPINDI VYA LEO TENA NA KWA RAHA ZETU VYA REDIO  CLOUDS FM.....KINACHOONGOZWA NA DINA MARIOS AKIWA SAMBAMBA NA GEA, ZAMARADI NA DAHU....WANASTYLE YAO YA KUSHEREHEKEA IYO MIAKA SABA AMBAYO INAHESABIWA TOKA ENZI ZA MAREHEMU AMINA CHIFUMA (R.I.P) WATEGEE SIKIO KUANZIA TAREHE MOJA FEBRUARY....ushereheke nao....
Keep it up Galfriendz Mnawakilishaaaa

ZAIDI YA WAGONJWA 263 WA FESTFULA NA MDOMO WA SUNGURA WAMENUFAIKA NA HUDUMA YA VODAFONE M PESA

         Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT Haika Mawala akimkaribisha Mkurugenzi wa mahusiano na Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wa pili toka kushoto akiambatana na Mkuu wa kitengo cha Safaricom Foundation-Kenya Sanda Ojiambo walipotembelea hospitali ya CCBRT kwa lengo la kujionea jinsi gani huduma ya Vodafone M pesa inavyosaidia wagonjwa wa fistula na mdomo wa sungura kwa kutumiwa fedha za nauli na matumizi ya njiani kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini na kuja kutibiwa hospitalini hapo zaidi ya wagonjwa 263 wamenufaika na huduma hiyo.


Saturday, January 29, 2011

NIMEGUSWAAAAA.......

                                      Ma mkweeee UMETISHAAAA umenifunikaaa MBAYAAA
picha::thanks MASHUGHULI

MASHUGHULI AMERUDI HEWANI full mzuka

                 kitu cha mnyamaa ivyoooooo hakikwepekiiiiiii.....kuona zaidi....mtembelee

MAKIRI KIRI

YES ndio hizo hizo mnazoziita nyie GLADIATORS....Huku kitaani kwetu yaitwa MAKIRIKIRI.....unajua sababu gani?????? TUHABARISHEEEE

Thursday, January 27, 2011

BLACK OPAL......DAWA YA CHUNUSU YA WATU WEUSI

 NI SHEAR ILLUSIONS WAMESIKIA MALALAMIKO YAKO YA KUSUMBUKA NA CHUNUSI NA KUAMUA KUWATIBIA HITILAFU ZA NGOZI ZENU KWA KUWALETEA BLACK OPAL.....THE ACNE SOLUTION.....
INAPATIKANA::MADUK YOOOTE YA SHEAR ILLUSIONS....YALIYOPO MILLENIUM TOWER NA MLIMANI CITY 
                                                                              NI KATIKA ULE MPANGO WETU WA KIZURI KULA NA WENZIO 'KKW' NIKAKUTANA NA HILI NIKASEMA LAZIIIMA NIWASHTUE MASHOST ZANGU, HII NI DAWA YA CHUNUSI NAAMBIWA MAHSUSI KWA NGOZI NYEUSI YAANI ZA KIAFRIKA ACHILIA MBALI ZILE TUNAZOSHARE NA WENZETU WA NGOZI NYEUPE......SASA HII NI YAKO WEYE BI SHOST INAITWA BLACK OPAL PRODUCT.....Unaweza 'Igoogle' kuitambua vyema      

                                                          

HASWAAA HII NDO ILE KIBOKO YA CHUNUSI AMBAYO IMETENGENEZWA MAHSUSI KWA NGOZI ZETU SISI WAAFRIKA......IKO SETI YA KUOSHA KUFUNGUA USO NA KUTIBU CHUNUSI
 HII NDO IYO SETI YA CHUNUSI NDANI YA BOX ZIKO 3 na bei ni 100,000 tu.                                                    

                                                        hii inaanza kwa kuoshea uso

                                                   Hii ni toner kwa ajili ya kuufungua uso
                                                    
                                                    na hii ndio dawa yenyewe ya kutibu chunusi....zinatumika 3
HII NI MAHSUSI KWA KUOSHEA USO  'cleaser 'KUONDOA MAKE UP NA KADHALIKA NA KUUACHA USO UMEFUNGUKA  ina conditional ndani yake....me nimeanza na hii
HII PAPAYA BODY BUTTER INASAIDIA ONDOA HARARA WALE WENYE HITILIFAFU ZA MWILI, SUGU NGOZI CHAFU ,NGOZI YENYE RANGI SIZIZOELEWEKA...YOTE INATIBIWA NA PAPAYA NA KATU HAICHUBUI...KWANI NI MAHSUSI KWA NGOZI YETU WAAFRIKA

MAFIAN FISH LOUNGE!!.....kijiwe tulivu kwa watu nadhifu


                                           
HAYA WADAU....LEO NAWATAMBULISHAAA KWENU KIJIWE KINGINEEE CHA UKWE'E.....NI MAFIAN FISH LOUNGE!! ILIYOPO MASAKI...YES NDIO HUKO HUKO USHUANI!! AMBAKO KUNA MISOSI BOMBA YA KILA AINA SAMAKI NDO KWENYE  ,KUKU   WA FOIL NK ...MISHKAKI  YA KILA AINA YA NYAMA KUANZIA ZILE NYEUPE HADI NYEKUNDU....hakuna kisingizio kwao....NA MWNGE HAURUKI KIJIJI.....NA BILA KUSAHAU SUPU YA PWEEEEZZZZAA ndio mpeleke akanyweeee

MBALI NA MISOSI KUNA SEHEMU MURUA TULIVU NA YENYE HADHI YAKO AMBAPO UNAWEZA FANYIA SHUGHULI YAKO YA BIRTHDAY,UNA KITU CHA KUZINDUA......GIRLS OUT NA WASHKAJIIII  tunaelekea hukooo

WANAPATIKANA::MASAKI,KAHAMA ROAD KARIBU NA OFFICE ZA BARRICK
WASILIANA NAO::0612 623426, 0715 376136, 0652 680306
 YES!! NDANI KUNA BAR ILIYOSHEHENI VINYWAJI VYA KILA AINA U NAME IT!!....KWA WAZEE WA KAUNTA MMESHAPANGIWAAA VITI. VIREFU.....
                                  
 UKIAMUA KUSIMAMA PIA HUKU UNAJIPATIA KINYWAJI PIA RUKHSA....MAMBO YA COCKTAIL BANAAAAA
 WAKUKETI HUKU UNACHEKI RUNINGA WALE WENYE TIMU ZENU...MLOCHANGIWA KIJIWE NDO HIKII
 UKIWA NDANI KUNA ANGLE TOFAUTI....ZA KUBARIZIIII
                                            YAP NI SOUND PROOF.....FULL KIPUPWE
        SASA HUMU NDANI NDO MAMBO YOOOTE....FULL KIYOYOZIIII,SOUND PROOF WA NJE WA NJE...WA NDANI WA NDANI!!
 KUNA SEHEMU MAHSUSI NA TULIVU KWA AJILI YA KUPATA MSOSI NA KINYWAJI
 JIKO LA KUTOSHA...KUPOKEA ODA ZOZOTE...NA WANAPOKEA ODA ZA NJE...HIVYO UKIWA NA KASHUGHULI KAKO HEBU LISHA WAALIKWA SAMAKI NA KUKU WA FOIL
 MISOSI YAO NI YA UKWE'E MI NILIANZA NA KUKU WAFOIL.....NA KUNA SAMAKI WA FOIL PIA.....NITAENDELEA KUKULETEA VYAKULA TOFAUTI VINAVYOPIKWA KWA UPISHI TOFAUTI NA WENYE LADHA NZURI
             PARKING IPO YA KUTOSHA NA YENYE ULINZI WA KUAMINIKA