Monday, July 4, 2011

BEYONCE ndani ya KT

AFRIKA TOUCHEZZZZ NDANI YA BONGO

YAP! YAP!....WIKI ILIYOPITA NILIPATA WASAA WAKUPITA KWENYE DAR ES SALAM FASHION FESTIVAL...AMBAKO KULIKUWA NA MAONESHO YA MASUALA YA FASHION MBALIMBALI...KIKUBWA KILICHONIGUSA ZAIDI NI HIZI AFRICAN TOUCHES, NILIKUTANA NAZOOOOO......I WAS LIKE WOOOOW!! KILA SIKU NAZIGOOGLE KUTOKA WEST AFRIKA LEO HII NAZIONA NDANI TA TZZ ZIKIWA ZIMETENGENEZWA NA WATZZZZ.....HAYA ZIPERUZINI HAPO CHINIIII MGUSWE!!



















Sunday, July 3, 2011

Interior Solutions at Your Fingerprints

NDIO UNACHOKIONA NDICHO UTAKACHOPATA NA ZAIDI......HEBU FANYA KUIPAMBA NYUMBA YAKO KWA KUTUMIA VIDOLE VYAKOOOOO.....INTERIOR DECOS...WAMEAMUA KUKUPAMBIA NYUMBA YAKO KWA MACHO  NA VIDOLE VYAKO, TEMBELEA INTERIOR DECO KISHA TOA ODA NA UTACHANGIA PESA CHACHE TU NAKUIFANYA NYUMBA YAKO KUWA ILE YA NDOTO YAKO.....KUONA INTERIOR WANA NINI NA NINI 

MAMA SHUJAA WA CHAKULA YAZINDULIWA NA KRISTIN DAVIS

SHINDANO HILI LITAHUSISHA KINA MAMA WA TANZANIA NZIMA UNACHOTAKIWA KUFANYA NI WEWE KUJAZA FOMU NA KISHA UTACHAGULIWA NA WATANZANIA NDIO WATPpIGA KURA KUMCHAGUA MMAMA ANAYESTAHILI, NA KISHA WATAKAOINGIA FAINALI WATAPEWA SEMINA YA KUONGEZA UJUZI ZAIDI SAMBAMBA NA TUZO KATIKA KILELE CHA SHINDANO HILO AMBALOOO LITAHUDHURIWA TENA NA BALOZI MWENGINEEE KUTOKA MAJUUU I CANT WAIT......guess who is coming!!!!!!
NI MMOJA KATI YA MABALOZI WA OXFAM DUNIANI KRISTIN DAVIS AK.A CHARLOTTE YORK
                               na hii ndo mfano wa tuzo.....atakayopewa mama shujaaa wa chakula
haswaaaa imechongwa na big mama...mchongaji vinyago wa kike anayenikosha na swagga zake za kiafrika
                                                  

                    DUH STEVE WE UNATAKA UHUSIKA NINI KATIKA SEX AND THE 3 ;)
STEVE KANUMBA YEYE NI BALOZI WA OXFAM HAPA NCHINI ALIUNGANA NA KRISTIN A.K.A CHARLOTTE YORK KUZINDUA ILO SHINDANO AMBALO LITAHUSIKA KINA MAMA WA TANZANIA NZIMA HUSUSAN KULE VIJIJINI AMBAKO WANALIMA NA KUFUGA KWA WINGI AMBAO WANACHOZALISHA KINASAIDIA KUPUNGUZA NJAA NCHINI KWA KIASI FULANI
 .........wakati kina sie tunapiga picha kuna wengine walitaka sahihi ......


da khadija nae alikuwepo sambamba na atahusika kwa namna moja au nyengine 

     Nani asiyetamani piga na muigizaji wa Sexy In The City weweee.....jino la mwishoooo
                                              offcourse.....nilipata wasaa waongea nae


 Ukipita makumbusho kuna hizi nyumba za kwetu.......tulikotokaaa.....daslam tumehamia tu

                     kulikuwa na burudani ndiooooo.......KIUTAMADUNI ZAIDIIIII
 DA MWANAHAMISI NDO ALIYEKUWA MWENYEJI WETU TOKA OXFAM TANZANIA AMBAYO NDO HASWAA INAANDAA HII TUZO ILI KUWAHAMASISHA KINA MAMA WAWEZE KULIMA NA KUFUGA ILI KUPUNGUZA NJAA INAYOTUANDAMA
NA KWA VILE TUNAMSAKA MAMA SHUJAA WA CHAKULA TULIMALIZAAA NA MSOSI WA KITANZANIA




WEWE MAMA AU WEYE MDAU AMBAYE UNAMJUA MAMA MKULIMA AU MFUGAJI AMBAYE UNAONA ANASTAHILIII HII TUZO TAFADHALI MCHUKULIE FOMU  UMJAZIE AU CHUKUA FOMU UJAZEEE KWA HABARI ZAIDI INGIA 
http://www.oxfam.org.uk/grow

DORIS FASHIONS

HEY HEY WADAUUUU LEO NAOMBA NIWATAMBULISHE KWENU KIJIWE KIPYAAA AMBAPO HAPO MTAPATA VITENGE NA VITAMBAAA KUBWA ZAIDIII MTADEZAINIWA NA KUSHONEWA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBA PAMOJA NA ZILE ZA MTOKO, SHUGHULI ZA KITCHEN PARTY, SENDOFF  PAMOJA NA HARUSI SAMBAMBA NA WASIMAMIZI WAO KUANZIA NGUO HADI VIBANDIKO
u name it!!
DORIS FASHIONS
WANAPATIKANA::MIKOCHENI JUNTION  ROSE GARDEN/TWIGA ROAD
MAWASILIANO::+255 755 744 665



                    hawa ndo walimpendezesha maznat mama wa royal kitchen party mwanzo mwisho
















hata nguo ya bi harusi .....inashonwa hapa kwa kile ambacho umekuwa ukikidream  siku zoteeee




                      maids ndo kwenyewe hapa ukitaka mburuzooo vimini....hiyari yakoooooo