Wink...kama mkumbukavyo jana ndo ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa, Hawa Mkamba akaniambia basi nitakupeleka Dinner , Jioni akaniambia uje Sea cliff -Karambezi saa 8, nafika nakuta Marafiki zangu....Lol nilifurahi coz sikutegemea
Nilipewa masharti nikifika nje niseme
Nikaja pokelewa ila ndo bi shost alikuwa bussy na simu hadi akataka niboa...namuambia pozi tupige picha ye busy
Farida Mama Sonia nae alikuwepo niliambiwa kama kutujoin mie na Hawa for dinner
Kuingizwa ndani nikakutana na Meza imejaa wananchii...Lol
Sijakaa vyema MENU ikaletwa shurti Imeandikwa ...SHAMIM SPECIAL...nikaishia kutikisa kichwa na kutabasamu
Haya Tukala hiyo dinner niliyoitiwaa
Hii ndo ikawa kali zaidi...eti wakaanza sasa tule nyama choma, Mie nikawachenjia nimeshiba na nataka nimuwahi Iqra...Ooo subiri uonje, nikanyanyuka nishachoka kukaa, nakalishwa...mara naona wafanyakazi wa Karambezi...wanakuja na cake wanaimbaaa Happy birthday to uuu...WAS LOVILY!!
Kama ilivyo ada nikakata Ugonjwa na watu tukalaaa
Nikapewa zawadi zangu.....Raha mtu ukizaliwa eeee?




Nikawashukuruuuu wooote
Ukafika wasaaa wa picha


Nikampa baraka Mama Kijacho apate mtoto kama mie ...Na hivi anawish awe wakikeee,ndo kabisa akataka niingie ndani ya tumbo....wink

Nikafungashiwa vilivyo vyangu nikasindikizwa
Shukran saaaaaana Hawa kwa kuniandalia dinner na kunijumuisha na marafiki zangu na shukran kwa wooote mliokubali kujumuika nami Dinna, Nasra,Irene, Halima , Nassoro,Farida Rupe na Erasto. You made My Day
No comments:
Post a Comment