JOSSYANE toka USA, AKISINDIKIZANA NA SYLVIA WA HOMEDECO...WALIPATA WASAA WAKUPITA KIJIWENI NA KUWAPA SOMO LA MAKEUP NA MAPAMBA WADAU WALIOKUWA WANAKATIZA KIJIWENI
NIRVANA WALIPATA WASAA WAKUONGEA NA KHADIJA MWANAMBOKA KATIKA KIJIWE CHA 8020 FASHIONS
FM EXPRESS EVENT...NDO WALIONIPAMBIA KATIKA KIJIWE CHANGU CHA 8020 FASHIONS....thanks Monica & Phina
Cathy decor
vikaja vijiwe vya mavazi
GRACE MAMA WA GRACELLA AKIJIANDAA KUINGIA KATIKA FASHION SHOW
VILIWAKISHWA NA GRACELLA BRIDE WARD ROBE
MUSTAFA HASSANALI
TALLY KASSIM.......miss wamiaka hiyo huyu
KIFUPI ILIPENDEZA NA WATU WALIKUWA NA MUAMKO...SHUKRAN SAANA MUSTAFA KWA KUNITAMBUA NA KUNIPA NAFASI YA KUONESHA KILE NILICHONACHO...KILA LA KHERI HII ITAKUWA KILA MWAKA JAMANI, WADAU WOWOTE WENYE KUHUSIKA NA MASUALA YA HARUSI MSISITE KUJITOKEZA MWAKANI
No comments:
Post a Comment