VENUE::ANCLE's PLACE
THEME::INDIAN
MC::MISH BOMBA
ORGANIZER::khadija, Jay Dee, Zainab &Masha








HENNA YENYEWE NDO HII SHURTI tashtiti za roses na mishumaa ya kuingaziaa




RAHAAAA JIPE MWENYEWEEEEE




panch ilipikwa na mwenyewe Mama Some Food....Brew Master...wink






SHUKRAN kwaaa wooote WADAU WANGU MLONICHANGIA NA MKAFANIKIWA KUKAMILISHA SHUGHULI HII especilly nyie kutoka 8020 fashions nimefurahi saana kwa ushirikiano wenu.......XOXO















































hahahah naona kila mtu alijitahidi kutia swaga za kihindiii hakika mliTISHHAAAA...lazima tupige swaga za kwaoooooooooo...wink










No comments:
Post a Comment