NA HII NDO IMENIBADILISHAAA....SHUKRAN SHEAR ILLUSIONS
KABLA ILIKUWA HIVI.(KUSHOTO)...NAMI NIKASIKIZA MAONI YENU WADAU NIKAONGEA NA MADAM , NA AKAAMUA KUMBADILI SAUDA KWA MAYBELLINE..
.THANKS SHEAR ILLUSIONS
ANGALIZO::JAMANI TUPAKAPO POWDER UWE TUNAKUSHA HADI SHINGONI NA MABEGA NA MGONGO KWA NGUO AMBAZO ZINAONESHA SEHEMU HIZO...msihofie kuchafuka kwa kuna sabuni kuliko kuwa na rangi mbili (pepsi& mirinda ;)

No comments:
Post a Comment