WATAACHAJE SASA KUVAA SARE ZA KITENGE?!!!
NAPENDA IDEA YA BI HARUSI KUVAA RANGI TOFAUTI NA SARE ZA WAALIKWA...manaa ulisoangalia utafunikwaaa mbayaaa
![]() |
sijui tunaiangalia hiyo uko juu a.k.a Its Over hapo kulia... |
hii ndoa ilikuwa ya kiislam...shosti anaitwa Bi amina...huku kwetu mngemuitaje mke wa Uji :)
jiugonjwa funika kama kawa
color was GOLD & TURQUOISE
MMEONA KITU CHA BROCADE FABRIC HAPO CHINI KWENYE MANJANO
BILA KUSAHAU SHEREHE YAO YA KIMILA
PICHA::THANKS BELLA NAIJA
PHOTOGRAPHER::XSIGHTN
No comments:
Post a Comment