EVENT:: KITCHEN PARTY
VENUE::HELLENIC CLUB
COLOR::YELLOW & BLACK
MC::MISH B
![]() |
lol! Sister...sister...utasema wachinaa |
MC kama kawa alikuwa Mish B...Mish ni Bomba ...ukipenda Mrs Mwakalinga!!!mie namuita mama wa MaDish Dash!!....:)
Ulikuwa ukiingia ndio wapewa sareeemapambo
![]() |
KULIKUWA NA SEHEM MAALUM YA RED CARPET shurt ina roses za kukanyagia...chezeee |
Mama SAMATHA (kulia)...ana head Band na Clutch tuka 8020 FASHIONS
NILIKOGUSWAAA!!!
![]() |
HII STYLE NI VAZI MAALUM HUKO UGANDA .... maza kaiwekea mabega juu WANAIITAJE TENA.... NAPENDA SAANA IKIVALIWA KAMA SARE NA INAPENDEZA..... WADAU KWENYE KIBAO KATA MWAONAJE TUKITINGA HII??!! |
jiuaaaaaa
MADINI mama madiniiii!!!!
No comments:
Post a Comment