Celebrity Fahions
Saturday, March 20, 2010
GASPER & PAMELA WEDDING
BRIDE::
PAMELLA
GROOM::
GASPER
MKENDA
VENUE::
GLONENCY (morogoro)
COLOR::
TURQUOISE BLUE
&
WHITE
mila zilitendeka mlangoni kwa maharusi kunyweshwa Mbege na kuvishwa hayo makofia, anayejua maana ya hii kitu atupe somo plzzz
ndafu nayo ilikuwepooo...si mwajua wamangi sie
Jiugonjwaa la kumwagaaa
Ukumbi nao ulirindimaaa
ADOLF MBINGA ANABENDISHAAAA HUKOO MOROGOROO!!
Bro and sis nao walimsimamia Broooo
Mdogo wake Mama and Hubby
'I do'
Bank M nae hawakuwa nyuma
Wafanyakazi wa tipper waliwakilisha hivi
KAMATI ilibidi ziwe mbili ya Vijana Dar na wazee wazima Moroo
SEND OFF ILIFANYIKA ARUSHAAA
Congrats bro....nakutakia kila la kheri katika maisha ya ndoa na mungu awajalie mpate wana
zeze.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment