IQRAH!! ametiza mwaka na sherehe ilifanyika Merry Brown Masaki.
Malaika wangu akijiandaa kupaa kuelekea mwaka wa pili....wink!!
Hii hapa ndo niliiona kwenye internet
Cake hii niliiona kwenye internet ilinivutia saana na nilitaka kuwa na cake tofauti , nikaenda Tambaza wakanitengenezea the same...They are the best kwa kudecorate.
Thanks aunt Halima a.k.a Mama Faiza kwa Cake
Thanks Aunt Hawa kwa kuniletea Cake
Thanks Hawa Omar kwa kivazi all the way from Cape Town
Mchumu mama....Mwaaaa
Ilibidi Maza akague MIUGONJWAAAA
Mashostitoo wakimpoozeshaaa mwenzao...lol
GLADIATORS!!
KWA PICHA ZAIDI ZA KULISHANA CAKE NA MENGINEYO CHEKIMAMANAMWANA
Nashukuru wooote mlioshirikiana nami kwa kunipa idea na mliokuja kusherehekea siku ya mwanangu mpendwa mbarikiwe saana nawapenda wote
No comments:
Post a Comment