EVENT::BAG PARTY
GROOM::OTHUMAN 'OSSY'
VENUE::VIJANA HALLGROOM::OTHUMAN 'OSSY'
COLOR::BLACK & WHITE
NITOE SHUKRAN KWA KUALIKWA JAMANI...SIKUWAHI KWENDA KWENYE BAG PARTY HII NDO YAKWANZA KWENDA...ILIPENDEZA...NIKAGUNDUA KUMBE BAG PARTY NI WANAWAKE WANAMTUNZA KIJANA WAO ZAWADI...KAMA ILIVYO KITCHEN PARTY WANAUME SI WEENGI ...UNLESS KAMA NI HII TU ZINGINE NA WANAUME HUALIKWA...mtanijuza zaidi......KWA KIFUPI ILINOGA too sad hakukua na JIUGONJWA...nilikuwa na hamu nione inafananaje......i think ingeweza kuwa ya SANDUKU/BEGI HIVI....lol





HUYU MAMA ALIKUWA KACHANGAMKA SAANA...NAPENDA WATU KAMA HAWA KWENYE SHUGHULI......UNAJIACHIA KWA RAHA ZAKO SIO MTU ANAKUJA KWENYE SHUGHULI KANG'ANG'ANIA KWENYE SITI KAMA KATIWA GUNDI....HANYANYUKI KWENYE TAARAB WALA MAPAMBIO...si ungelala Nyumbani?!!


MI NILIVYOONA HILI NILIJUA NDO MABEGI YENYEWE...lol



Lisa na kati ya Nyumbani ni Nyumbani tbc1....NILITAMBUA UWEPO WAKOOO...salamu ziwafikie HUKO SWEDEN!!


SAMAHANINI WADAU SIKUWEZA NASA RED CARPET VYEMA NILIFIKA LATE...si mwajua tena majukumu?!!






No comments:
Post a Comment