Friday, April 30, 2010

SALMA BRIDAL SHOWER




MAMA NA MWANA
NAAMBIWA SIKU HII KILA MTU ALIONDOKA NA JIZAWADI



SIKU HII NAONA ILIKUWAN NI DISH DASH KWENDA MBELEEE KAMA tupo abudhabi!!
HII NDO ILIKUWA MAHARI YAKE.....MSAHAFU...

Thursday, April 29, 2010

ZEZE NDANI YA DAILY NEWS



Success, the reward of relentless efforts

By HASINA MJINGO, 28th April 2010
Dressed in a black skirt and a white blouse, Shamim Mwasha looks simply smart. But what caught my attention was her zebra (striped) ballerina which matched her huge cocktail ring. There is no doubt that Shamim is a huge fan of fashion. She admits that she loves fashion so much and that her life evolves around it. The 32 year old is a Blogger, boutique owner and a Web Editor. Both her blog and her shop share the name 8020 fashions. She got the name from an Italian economist and sociologist Vilfredo Pareto (1843 - 1923), who came up with a theory that said 80 per cent of your results come from 20 per cent of your efforts.
KUSOMA ZAIDI KONG'OLI HUMU DAILY NEWS

Tuesday, April 27, 2010

SALMA HENNA PARTY

SALMA NDO YULEE MTOTO WA SOMO ....ZULEKHA LODI...HII ILIKUWA SIKU YAKE YA KUPAKWA HINA

alivaa panjabi ya kihindi ...UPO?!!

AKIWA NAWADOGO ZAKE

picha zengine zaja...najua nimeanza kuwaambia siku nyingi eeeee..poleni kwa kusubiri

Monday, April 26, 2010

BINTI AFRICA.....NEW ARRIVAL


BINTI AFRICA ASHUSHE MZIGO MPYAAA NA VIHOTPANT VYA KIAFRIKA CHEZEEE...CLUTCH ....SANDOZ NA VITENGE VIPYA UNACHAGUA RANGI UTAKAYO

ANAPATIKANA ::KINONDONI B.JIRANI NA MSIKITI WA MTAMBANI
MAWASILIANO:: 0653 777774


hizi ni hot pant.....kama zileee za beyonce...wink










NEW ARRIVAL....VIATUZI


HAYA HAYAAA TENA MATEJAA WAVIATUZIIIII JAMANI MZIGOOO NDO HUO UMETUA...KUANZIA VIATU GLADIATORZ....CLOGS....NA AINA ZOOTE UZIJUAZO..... PAMOJA NA ACCESORIE



WAVAPATIKANA UPANGA SEA VIEW

MAWASILIANO 0715 850855



























CLOGS ARE IN TOWNNNN!!....PITA VIATUZI....KISHA NITUMIE PICHA KUPITIA shamyomy@yahoo.com


CLOGS..NDO HIZO KILAAA RANGIIII....KILA STYLE VIREFU KWA VIFUPI







































NA WANAUMEEEE WAMEKUMBUKWAAA NAVIATUZIIIIIII
KUONA ZAIDI TEMBELEA