Friday, July 30, 2010

KUELEKEA UCHAGUZI!!!

BI JOHA SIMBA KUSHOTO ANAWANIA UDIWANI UPANGA
HAWA KINA MAMA WALIOKUWA WANANIA NAFASI KWENYE VITI MAALUM...nimependa mavazi yao kuna vitenge, bazee na lesi material hapo

TIKETI ZINAPATIKANA SASA

Welcoming Ramadhan Conference for Togetherness
When Ramadan came, people would pray together, eat together and a general sense of togetherness prevailed. So just Come and Join your brothers & Sisters 
UKIHITAJI TIKETI ZA KINGAMANO NIPIGIE 0784 418941 ULETEWE, TIKETI NI ALFU 40,000 ITAKAYOJUMUISHA CHAKULA  PAMOJA NA DVD RA RAMADHAN, MAHALI NI PARADISE CITY JENGO LA MKAPA TOWER, TAREHE 8/8 SIKU YA JUMAPILI

Thursday, July 29, 2010

UONDOEJE CHUNUSI!!

Chunusi husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia.
Product kama Tea Tree Oil, Aloe Vera, Zinc, and Vitamin A ni vitu vya kihalisi vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri.

HAYA KUONA ZAIDI INGIA DARASANI

lugha ni kiswahili kasikia maombi ya wadau wake

SHAA HAIR DO!!


NEW ARRIVALS @ PERFECT IMAGE



PERFECT IMAGE  SALOON & BOUTIQUE, WAMESHUSHA MZIGO MPYAA KUTOKA MAREKANI, ZIKIWEMO NGUO ZA HARUSI PAMOJA NA MAZAGAZAGA YAKIWEMO MAUA YA KUSHIKA BI HARUSI NA MAPAMBA YAKE BILA KUSAHAU SUTI NA TAI ZA KIUME ZA KILA RANGI

WANAPATIKANA:: FALCON DRY CLEANER BUILDING OPP HOME AFFAIR  / EXIM TOWER
MAWASILIANO:: 0712 877741, 0717 583726 , 0754 721705
                                                              MAUA YA KILA RANGI!!


                                               TAI ZA KIUME ZA KILA RANGI
ACCESORIES KUANZIA HERENI HADI VISHADA
                                       VIBAJAJI ..TENA INGIZO JIPYA HILI LA VIBAJAJI

MABIHARUSI MSHINDWE WENYEWEEE...VIZURI NALA NA WENZANGU MIEE



                       HEBU JIPIGIE PICHA UMETINGA HILI KWENYE SEND OFF AU AQDI YAKOOO




                            Hii inafanana kwa mbali na ilee ya mama U turn na kati ya Dubai kwa sasa














                                                                                wow!!










ENJOY SHOPPING WITH PERFECT IMAGE