Tuesday, December 7, 2010

GIRLS NIGHT OUT.....Copenhagen

     hahaha nimeona nyonyo umetupia kitu vha mnyama hapo kati......Miss u hawa
                        Mh Poleni na baridi maana lazima mvae makoti muda wote kama walinzi ;)
    jiugonjwa lilikuwepo wenyewe watz waliandaa kusherehekea uhuru....shurti cake ina bendera wazalendo wenyewe


                Bijouxinista alikuwepooo kwa mbaaali naona kitu kama velvet ama?!!
                              hawa kwa tashtiti haya haya maunoo ukayapeleka ulayaa inahuuu?!!

No comments:

Post a Comment