NA HAYA NDO MAUGONJWA YANAYOLIWA SIKU IYOOO
LOL!! SIKU MBILI HIZI NIMEKUWA NIKISOMA NAKUSIKIA JAPOKUWA BADO SIJAHUDHURIA...ILA KUNA MOJA NIMEAMBIWA NITAALIKWA....sijui kweli ipo au utani cos sitaki amini maana na sare inaandaliwa.....wink
SHEREHE YA KUDAI /KUKABIDHIWA TALAKA NA WENGI WANAODAI KUIANDAA NI WANAWAKE NAAMBIWA KAMA AMBAVYO ULIFANYA SHEREHE YA KUOLEWA NA SHEREHE YA TALAKA LAZIMA IWEPO BIBI...SHURTI BENBAT LIWEPO...KAMA RUSHA ROHO WATU TURUSHE
WAKATI BADO NASUBIRIA MOJA IFANYIKE LEO KATIKA PITA MTANDAONI NIMEKUMBANA NA HII HABARI...LAKINI HII INAFANYIKA HUKO TOKYO,JAPAN AMBAPO WANASEMA ZISHAFANYIKA KAMA 25 HIVI.... AMBAPO KAMA MMEFIKIA UAMUZI WAKUTENGANA BASI MNAKAA NA VIKAO VYAFANYIKA NA KADI MWAGAWA NA SHEREHE ZINAUNGURUMA ...ZAIDI INGIA HUMU DARHOTWIRE cheki iyo video uone wanavyofanya pete na picha zao...wink
MAMA SHUGHULI think of any theme idea...wink
JE WE WAIONAJE HII SHEREHE MDAU IMEKAA SAWA AU TUIPOTEZEE....
No comments:
Post a Comment