HAPPY BIRTHDAY MARIA BUNTO (MDAU WA 8020 NA.1)
Sunday, October 31, 2010
NILIWAMISSIJE?!!!
KWANZA NIANZE KWA KUOMBA RADHI KWA KIZA KILICHOKUWA KIMETENDA BLOGUNI....MWENYEWE NILITOKA KIDOOOGO KWENDA KUFUATA MALIGHAFI ...NIKIWA NA NIA YA KUWAKILISHAA....YAKAJITOKEZA YALIYO NJE YA UWEZO WANGU NIKASHINDWA KUWASILIANA NANYI ILA KWA SASA NIMERUDI KAMILI GADO.....MWENDO MDONDO....LIBENEKEEE LIENDELEEE
ZEZE
Sunday, October 24, 2010
ANAHITAJI MSAADA
Hellow! Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya...mi tatizo langu chunusi,halafu pia natamani sana kuwa na ngozi nzuri inayovutia,mi mweusi isiyo na mabaka,lakini pia miguu na mapaja,nataka niondoe spots,utansaidiaje? pls,mana naona aibu kutembea na rafiki zangu since wote wana ngozi nzuri,nikiwa nao yani i look rough
Mdau Bongo Urembo
Mdau Bongo Urembo
MATILDA KITCHEN PARTY!!
BRIDE::MATILDA
VENUE::PEMBA BAR (BWAWANI HOTEL)
COLOR::BLUE & GOLD
MC::MAMA ABDUL
MC Mama Abdul aka Mama wa Upatu
MAMBO YA ZANZIBARA HAYA!!
VENUE::PEMBA BAR (BWAWANI HOTEL)
COLOR::BLUE & GOLD
MC::MAMA ABDUL
MC Mama Abdul aka Mama wa Upatu
MAMBO YA ZANZIBARA HAYA!!
Thursday, October 21, 2010
NEW ARRIVALS........@VIATUZI !!
HAYA HAYA WATEJA WA VIATUZZZZII MZIGO WA NOVEMBA NDIO HUOOOO UMEINGIA VIATU VYA KILA AINA ,RANGI NA HATA STYLE KUTOKA KWA WABUNIFU TOFAUTI VYA KIOFISI NA HATA VYA MTOKOOO HATA WA FLATS TUMEKUMBUKWA VIMEJAA TELEEE
KUONA ZAIDI ZAMA
WANAPATIKANA:: UPANGA SEA VIEW
MAWASILIANO:: 0715 850855
Nchomeee moyo kila rangiiii mshindwe nyieee |
Mambo ya lace unyayoni kwako sasa
Animal Print ndo zenyeeeee...kama tayo nawe tukuhesabie
mambo ya ofisi na kina mama pia yapooo
jiua kiatuni....chezeeeeea Viatuziii
UGONJWA WETU ULEEEEEEEEEEE
YORI!! YORII!!
WATARAJIWA MPOOO?!!!!!
VITUPIO NAVYO VYA KUMWAGAA KILA RANGI KILA STYLE!!
ENJOY SHOPPING WITH VIATUZIIII!!
Subscribe to:
Posts (Atom)