HIVI VIATU VYA MAMA WILLOW NIAJE MBONA NAONA KAMAZIMETOA , SASA NIMEJARIBU KUPATA PICHA ALIVYO SIJUI AMETEMBEAJE KUFIKA HAPO NA HAVIJAMVUKA AU KUNA SUPAGLUE KAGUNDISHA KWA CHINI AU NI SWAGGA ...MTUJUZE KAMA NDO STYLE ILIYOINGIAAA KWENU MAFASHIONISTA WAULAYAA
ANGALIZO:: UKIVAA VIATU VIREFU UJUE KUVITEMBELEA, MAMBO UNAVAA VIATU VIREFU TULIOKARIBU YAKO TUNAPATA TAABU YA KUHISI UNADONDOKA TUNATAMANI KUKUDAKA....HATA FLATS ZINAPENDEZA JAMANI....:)
No comments:
Post a Comment