Celebrity Fahions
Thursday, October 14, 2010
MAMBO YA MAKE UP NA PHOTO SHOP HAYO!!
NIMEKUWA NIKISOMA COMMENT ZENU NIKIONA WENGINE MMEKASIRIKA KUTOKA NA JINSI MNAVYOCOMMENT ETI WAMENIHARIBU...LOL...JAMANI HII PHOTO SHOOT ILIKUWA MAALUM KWA AJILI YA GAZETI....NA HATA MAGAZETI YA ULAYA YANAUZA KUTOKANA NA UBORA WA PICHA UBORA WA PICHA UNANOGESHWA KWA MAKEUP NA PHOTO SHOP ....hata hawa masuperstar tunawaona na kuwazimia kwa picha hawako ivyo ni make up zinawanogesha, MIE MMENIKASIRIKIA SABABU MNANIJUA AU MMEZOEA KUNIONA SIVAI MAKE UP KWA SAANA.....nimewaonesha baadhi ya picha za macelebrity wa asia na majuu muone B4 na After ...kama hata mngekuwa mnawasamilia mkipishana nao!! kisa tu wamebadilika baada ya kupambwa hivyo nami NI HAKI NIBADILIKE!!
after B4
Angelina Jolie hebu ona Hata zile lips zake zimefunikwa
Mcheki Vivica Vox hapo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment