Friday, June 24, 2011

NAPE NAUYA AZIFAGILIA WAVUTI


YAP!! Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye,leo amekutana na wanawavuti na kutupa BIG UP na kuafidi kutupa shavu la nguvu kwa kazi tunazofanya za kuelimisha na kuburudisha jamii
baadhi ya blogger tuliokutana na Nape....kwa niaba ya bloggers woote ..tunamshukuru Nape kwa kutambua kazi yetu na uwepo wetu kama wanawavuti na tunasema Aluta Continua........
LIBENEKE OYEEEE

No comments:

Post a Comment