Wednesday, January 20, 2010

KIBAO CHINJA mh KATA ...wink


Viuno kwa kwenda mbele si wajua tena mambo ya kibao kataaa
hinna hupakwa kokote bibi...upo hapooo
pambo ya hinna hayoooo



Kibao kata mwenzie nguo nyepesiiiiii kama shostito hapo alivyolipuka ,kama si diraaa
madira yapo ya vitambaa na styke tofautiiii
mwanamke diraa kimini sipo pake hapa...wink

18 comments:

Anonymous said...

wink must be the new vocabulary uv learnt!enough bout the wink word...musta gowww!!!!ni km mnavotumia lol..ivi mnajua maana zake manake mnaweka tu anappropriatly!SMH...

Anonymous said...

Mweee! wamependeza sana nimetani mno dada zeze yaan ni mwendo wa dira na hina nahisi watu wananukia si mchezo hapo yaan wamependeza munoo

bianca said...

jamanii zeze...naomba unihabarishe ntapata wapi mchoraji mzuri wa hinna kama that girl aliechorwa on her back..u know napenda tattoo lakini sitaki a permanent 1 so naona km hinna ndyo the best solution...nisaidie hicho dada yangu...

Anonymous said...

kyelleuuuwiiii!uwiiiih!uwiiih!jamani waporaa mpendezaah!sitanii jamani mmetoka watoto!nimependa hina ya mgongoni.shaaah!na mimi mmenitamanisha nitafute dira kumbe yanapendeza hivi!!shamim mpora wangu mbona sijakuona pichani?.bibi harusi wa watu anasura ya upoleee!
-mdau sweden.

Mama Naseer said...

Aah Zeze mbona unatubania hivyo picha za viuno ziko wapi maana kibao kata ni viuno kwa kwenda mbele hiyo picha ya kwanza very interesting.

Anonymous said...

mmmhh zeze hapo tu ndio ninapokupendea!ila naomba unijuze nini haswa mnafanya kwenye kibao kata na inakuwa all ages au wasichana tu?
na kuna msosi au drinks?

laurel said...

hapo sina la kusema wamependeza mashosti na madira yao na kibao chinja hapo poa kabisaa wanaonekana mambo wanayaweza si mchezo

Jose said...

hatumwi mtoto dukani na noti ya elfu kumi hii ni full list kama ni team ya mpira basi ni first eleven

Mwali said...

Mwali, hapo ndo kwenyewe, kautamaduni haka kazuri, no matter how much some of us trying to critsz this kind of shughuli ya kibao kata kiukweli hakuna kitu ambacho nainjoy kama shuhuli hizi, manake pale ndipo usemi unaosema mwanamke ni ua au pambo ndo unaonekana...its colorfuland creative event...kuanzia mavazi, make ups, hina, yani inanoga kupitiliza, anayebisha ni mbishi tu tangu kuzaliwa kwake..umenkuna, umenkuna mwali(:

Anonymous said...

Zeze mambo

Mwaya mona umetubania picha za kibao kata mi shankupe nilikaa standby kusubiria mana kwenye shughuli sikualikwa sasa na picha nazo unatubania sio vizuri kama ni za kumwaga radhi we zimwage tu kwani na imani sote humu ndani ni grown up. Please mama Iqra tuwekee bibi tufaidi unooooooooozzzzzzzzz

Helen

SISCAR said...

hahahahaha jamani usinambie mashosti zangu kina fatma na asmah walikuwepo dah wape hi sana ukiwaona...but still nataka kujua maana ya kibao kata...wamependeza sana dada zangu hao,,wasalimie kina mahsen sana!!!zena,,fatma,munira,asmah heheh usimsahau shakira jamani!!
wapo juu

Anonymous said...

Jamani mimi nimekuwa nikisoma wink...na lol...kwa kweli sijui maana yake naomba nieleweshwe ndo nini. Samahani kuuliza si ujinga.

Anonymous said...

Hivi wewe anonymous SMH una nini? Kwani Zeze akiweka wink na lol tatizo nini. Weka basi hiyo maana ya lol kwasababu inaweza kuwa na maana nyingi besides Laugh Out Loud na sioni sababu ya kusema Shamim needs to grow up from those acronyms. Kwanza ku-spell "inappropriately" imekushinda eti "anappropriatly". Ebu anza huko!

Anonymous said...

hiki kibao chinja nilitamani saaana nimuone munira mtoto ana balaa huyu tuwekee tu pliz na hii jaky binti yenye nyekundu mie sisemi hawa watoto viunozi vinajinyonga ka semi trela inayokata kona lol!
mdau mongolia

Anonymous said...

BI HARUSI NDIO YUPI JAMANI AU MIE SINA MACHO?
MLIPENDEZA SANAAAA

Anonymous said...

hey siscar mumie jmani nimekusoma jamani shakira hakuwepo mbona unamuonea .....hahahahah zena ,munira,asma ol n da hse kibao kata hakitaki mchezo t was ma first time and had fun......bado cha kwako lol......mahsen family tupo lolo....haya bwana..thax...

Anonymous said...

LOL.......Laughing Out Loud

Lindeki said...

honestly i find it okay Shamim anavyotimua acronyms coz najua ma-bloggers wengi tu ambao wako addicted no words kama hizo, haman tatizo at all, over use in a blog is common kabisa for words kama lol, wink smh, rotlmfao....mjustsaying..watu wengine wanjaiona wanajua sna akati wajuaji wamenyamaza...anonymous smh need to shut the hell up and sit down!!!
mdau Sweden

No comments:

Post a Comment