Wednesday, January 6, 2010

MANGE'S DOWRY



ALIZAWADIA....VITOO...KWENYE MAHARI YAKE...KWANI MANGE MNA ASILI YA KIARABU AU NDO HUKO DUBAI ULIKOISHI???? Maana mtoto wa kiarabu mahari shurti KISOSI CHA DHAHABU bibi!!!!!

Ma shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!


unaliona dira hiyooo......Abudhabi iyoooo shosti.
huko madira toka ABUDHABI NDO YALITAWALAAAAA....unalijua dira la wape weyeee
Aaaaa wadada na rangi...hivi unatambua rangi nyekundu hupoteiiiii kokote waonekana
haya sijajua Madira ya wapi haswaaa Origin yake...lakini kitambaa cha mtetemeshooo....umkute mtu amejipinda kwenye Mwanamke Hulka...UTAJUTAA!
Aaaaaa hata madira ya kisomali yalivaliwa pia cheki hao wanaonifuatia toka kulia
Raha ya sherehe ushereheke na wenzio bibi!!

22 comments:

Anonymous said...

labda mie mkale nilidhani mambo ya mahari ni ndugu tu kumbe na mashoshtozo wanatakiwa kuwepo mhhh haya bibi hongera.

Anonymous said...

mmependeza mashaaalah watoto walipare

shushu said...

hongera sana mange, mmpendeza sana, shamy we ndo ulimsimamia nini manake naona kama mlitaka kumech flani, jamani madira yanapendeza sana kwa mwanamke.Dada Mange tunasubiri ndoa tu, utualike na sie!!

shushu 'hot'

Anonymous said...

duuh mabinti mlipendeza sanaaa.
Mange all the best my dia......karibu kwenye tamu ya ndoa na uzuri una mashostisto walio ndani na waliotoka kwenye ndoa zao.Katulie kwny ndoa yako mpnz....na muombe MUNGU kwa kila jambo,sali sana my dia.....dunia sio ile ulikuwa ukiijua utotoni....Mashosts haoooooooo...mmmmmh haya

Sab said...

Mlipendeza sana jamani duh.na we shamimu ulitaka kumfunika bi harusi mtarajiwa au ha ha ha mnavutia sana jamani.kila mtu kapendeza hapo.jamani matukio zaidi mtupe send off,kitchen part,mpaka harusi yenyewe

Zaynab said...

Shamimu plsssssss weka ile picha uliyokuwa unakata kiuno umeshika kiti mmh sikuwezi we mwanamke nimeiona kwenye FB

Anonymous said...

jamani mange alipendeza sana sana sana duh nashindwa hata kueleezea,ila shamim naomba kujua mange ni muislam au?maana naona mpaka shem kavalishwa vazi la kiislam au mie ndo mshamba?tafadhali nisaidieni.

Anonymous said...

Shamimu ni swali Hivi Mange Kimambi anawadhifa gani wengine hatumfahamu.Msaada mwenye maelezo zaidi.

Anonymous said...

walipendeza sana jamani mmh mange hongera na ukatulie haswaa, na mungu awajalie watoto wazuri

Anonymous said...

Nedxt time maburahusi mseme vaeni nguo za rangi zote ila rangi fulani msivae kuepuka kufunikwa maana Zeze kiduchu amfunuke mwali lol hahahaha wote mpo fab!

Anonymous said...

duh zeze naona umemfunika biharusi kisawasawa yaani hapo na we ungepata kalace wig tu ingekuwa balaa miriam Odemba wamoo saaana!mashostito wengine mmependeza ila punguzeni weight kidogo

Anonymous said...

Shamim hiyo style ya nywele haijakupendeza imekufanya uonekane mzee imeficha ubeauty wako.

Anonymous said...

Hallow Zeze nimeipenda sana nguo yako umeinunua tz au umeagiza nje na nawezaje kuipata kama nikitaka nguo kama hiyo yaani umenimaliza kwa sana

Anonymous said...

Wamependeza mashallah lkn zeze wigi lako ukija upepo linapeperuka dada. Alafuw eye ulikua msimamizi ama?. Lkn kwenye Mahari hakuna wasimamizi sooo mmmh

Anonymous said...

Heee sie madira kwetu tunavaa kwenye kuchambua mchele nyie mnavaa kwenye mahari?...Mazuri lkn c'mon could have done better. Atleast mngevaa kwenye Kibao Kata

Anonymous said...

Mmependeza haswaaaaa! Mange karibu kwenye ndoa. Ila kumbuka kuwa shem ana mila na desturi tofauti na za kwako. Kimbembe ni namna ya kukubaliana na mila na desturi ngeni kwako na kwake pia. Mungu mwema atakuwezesha maana katuwezesha na sie pia tulioolewa na watu wa jamii hizo. Kikubwa kumuomba Mungu.
Mengi utaelezwa ukiwekwa ndani.
Nakutakia Shughuli njema ya wajibu wa pili mkuu ktk maisha.

Anonymous said...

warembo mmependeza sana ila shamim kiwigi umechemka kidogo i hope u dont mind kukosolewa pili kwenye mahari huwa hawapaki hina jamani ni mila za wapi hizo sijawai sikia ni kule kashmir au afghanistan nini? which i doubt theres no such thing cha ajabu bwana harusi hatokei huko ningesema labda mwali kapenda kumfurahisha mchumba kwa taratibu za kwao, ungeuliza wakubwa kwanza huna washauri? ni maoni tu

Anonymous said...

any wa hapo juu, bwana na bi harusi wamekutania na ku-fall in love Dubai, uarabuni ndio maana waliamua kufanya arabic theme. habari ndo hiyooooo umbea tu

Mrembo said...

mh hebbu tuepushieni sie mwenyewe bi hausi mtara kaamua kupaka hina sasa sababu wakati wa wedding yenyewe hataki hina kwenye white dress.Its her wedding and her choice inahuhu kama hupendi panda ukazibe weee.Halooo weye wivu wakati ndo huu kujinyongaaaaa.

Anonymous said...

naomba nijue twapateje na sie izo madira za kisomali,kihindi,kiarabu nk

tutinge izo maduka,,mlipendeza sana izo ma-colors

Anonymous said...

Dubai, Abudhabi, wala huko Arabuni kote hakuna viwanda vya nguo, madira hayo yatengenezwa India, na China haswa siku hizi.

Ukitaka na kama huogopi nenda Kariakoo, utachanganyikiwa yamejaa tele katika muundo wa vitambaa na mitandio yake, nayo yanatoka nje ya nchi, waweza kupata dira nzuri ya silk, Namaanisha pure silk na mtandio wake kuanzia 130,000/- kwa dira moja, ila kama mvivu wa kutembea sie sie tunaenda kuinunua huko Kariakoo, na kuwaletea huko Uzunguni ambako tunaziuza kuanzia 200,000/- na kuendelea kutegemea uzuri wa dira lenyewe halafu nakwambia nimeitoa Dubai utakataa??.

Madira ya kawaida ambayo ni ya vitambaa vya kuteleza hayana bei sana, ila ujue kuchagua tu maua mazuri waweza kupata kuanzia 20,000/-, 40,000/- hata 60,000/-. Na yanayoitwa ya kisomali yaanzia 80,000/-.

Siku hizi Kariakoo kila kitu kipo, ujue wapi tu utapata genuine na kwa bei, maana kuna wanawake wanasafiri nje ya nchi kwenda kuleta mambo mazuri, yakifika tu sie wakuswampa tunadaka tunakuja kuwauzia mitaani, si hamtaki kupigwa vumbi? Kwanini nisikuuzie bei mara mbili yake yakhee!!

Anonymous said...

kupendeza ulipendeza mumewe ni mtu a wapi lakini? kwani si mwarabu...

No comments:

Post a Comment