Tuesday, August 31, 2010

ENDESHA GARI YA NDOTO YAKO!!


NI KUPITIA KAMPUNI YA  SK INTERNATIONAL.....AMBAO NI WAUZAJI WA MAGARI USED KUTOKA JAPAN AMBAO WANAOFISI NCHINI JAPAN NA HAPA TANZANIA WANA YARD MBILI MOJA IKIWA NI TABATA DAMPO NA NYENGINE KINONDONI MKWAJUNI......KUONA WANA NINI ZAIDI INGIA HUMU
                                     WWW.SK-INTERNATIONAL.JP

ENJOY SHOPPING WITH SK INTERNATIONAL

DESTA KITCHEN PARTY!!


EVENT:: KITCHEN PARTY
BRIDE::DESTA
THEME::MASAI
COLOR::BLUE,RED & WHITE
VENUE::NEW WORLD CINEMA
MC::MISH B
ilikuwa kimila zaidi bibi alikuwa fulll ng'wamba


kwa nyuma walionekana hivi niliwatamaniii!!
 hii ndo ilikuwa sare mtandio wa kikoi cha kimasai...sijui inaitwaje?!!
                                                          kadi ilikuwa na muonekano huu
                                                          mapamba yalikuwa hayaaa
                                                   JIUGONJWA LILIKUWA HILII

                                                               PASPOT SIZE.....




                                              Mish B sambamba na kijana wake wa kazi SIDE
tukiwa tunaendelea na shughuli mara tulitangaziwa kuna ugeni umefika ndo wakaingia wakaka hawa ambapo mmoja wao alikuwa bwana harusi mtarajiwa.....ila hii ilikuwa kimila zaidi walileta kamzigo hako na baada ya wao kufikwa tukaenda kupata maakuli....ni Ilikuwa kimila zaidi.


                                   Somo alikuwa na tashtiti ya uji wa kunguuuuuu.....Chhhhhhhhafyaaaaaaa:(

                              walinogaaa.....natimiza mila ile nnyengine ilishindwaaaaaa...wapi Mr Ebbo

                         EATV NAO WALIKUWEPOOO KUPATA VITU VYA NIRVANA
NILIKOGUSWAAA

BIBI WE KULIKUWA NA PIKO MPAKO WA KISUDAN.......wapi somo Zulekha Lodi
                                                           kikaba hiki niliondoka nacho!!...:(
                                          SWAGGA ZA KIMASAI ZILIKUWA FULL

                                                             Mabinti wa kimasai haoooo

                                                       Wapi aunt Rey na kati ya Liberia









                                 Jennipher Pemba ndo alikuwa mwenyekiti......aminia mamaa