Tuesday, August 24, 2010

Vi Jeans vya VODACOM!!



TUMEZOA ONA WAREMBO WAKIVISHWA T SHIRT NA TOP  ZENYE NEMBO YA KAMPUNI HUSIKA, VODACOM WAMEIBUKA NA NIKOT VYA JEANS KWA AJILI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA MWAKA HUU......chezeeeeee full ubunifuuuuu

warembo hao kwa sasa wako arushaa wanatembelea ngorongoro ni katika kuhamasisha utalii wa ndani

No comments:

Post a Comment