kuna na viatu vyake |
Magauni yake |
Kuna blazer zake |
Paris Hilton ye huitinga style hii |
kuna top zake pia |
JIDE ye huitinga kwa mwendo huu
NURU THE LIGHT ye hujipigilia kistyle hii
Lol wakati napiga hii picha sikujua mie nilikuwa nimekonsetret kwenye LACE, wakati natengeneza picha nikagundua ni VIDA MAHIMBO...ye aliipiga design ya KIBAJAJI
HAYA WE MDAU NAWE UNALACE....nitumie picha tujue jinsi ya kutinga LACE via shamyomy@yahoo.com
No comments:
Post a Comment