Thursday, August 19, 2010

NAOMBA MNISHAURI

NAITWA NNEKA NINA TATIZO LA WEUSI KATIKA MAGOTI NA VIGOSHO (katika viungio vya mkono na mabega) kuna weusi ambao unanikera mie rangi yangu ni maji yakunde sijawahi kutumia mkorogo wala cream yoyote ya kutakatisha, nashangaa kwanini nina weusi huo, naomba mniambie inatokana na maumbile au ni nini na jinsi ya kupambana navyo(NATAMANI KUTAJA WATU MAARUFU AMBAO WANA HILI TATIZO ILI MUELEWE LAKINI NAOGOPA MTANICHAMBA)

shukran, ahsante zeze kutupa nafasi sisi waomba Ushauri tushauriwe, nimesukumwa kutoa hili baada ya kuona wenzangu waliotangulia mmewashauri vizuri

Nneka

No comments:

Post a Comment