Saturday, March 20, 2010

GASPER & PAMELA WEDDING

BRIDE::PAMELLA
GROOM::GASPER MKENDA
VENUE::GLONENCY (morogoro)
COLOR::TURQUOISE BLUE & WHITE





mila zilitendeka mlangoni kwa maharusi kunyweshwa Mbege na kuvishwa hayo makofia, anayejua maana ya hii kitu atupe somo plzzz
ndafu nayo ilikuwepooo...si mwajua wamangi sie
Jiugonjwaa la kumwagaaa
Ukumbi nao ulirindimaaa

ADOLF MBINGA ANABENDISHAAAA HUKOO MOROGOROO!!




Bro and sis nao walimsimamia Broooo
Mdogo wake Mama and Hubby

'I do'
Bank M nae hawakuwa nyumaWafanyakazi wa tipper waliwakilisha hivi


KAMATI ilibidi ziwe mbili ya Vijana Dar na wazee wazima Moroo
SEND OFF ILIFANYIKA ARUSHAAA


Congrats bro....nakutakia kila la kheri katika maisha ya ndoa na mungu awajalie mpate wana zeze.

No comments:

Post a Comment