Monday, March 29, 2010

REHEMA KIBAO KATA/NGOMA BAIKOKOOO!!

BRIDE::REHEMA MKAMBA
EVENT::KIBAO KATA
DRESS CODE::DIRA JEPESIIII


Bi Rehema akiwa amezungukwa na asuminiiii...anasema ye kaoshwa na mpenda penda kila akienda apendwaaa
MAKUNGWI WAKIMUINGIZA BI HARUSI UKUMBI!!

sijui mmeona vikuba?!! wink mlinifundisha wenyeweee
Bi Harusi wetu akijifuaa....kuelekea siku yake ya harusiiiiii...CHEZEEE
HII NDO NGOMA BAIKOKOOO...KINA DADA HAO WAMESIMAMA KIUNO KINAONGEAAA
MASHAALLLAW!!!


RAHAAAA JIPEE MWENYEWEEEEE
Hamida Mama wa Sarakasiiii

Bi harusi unaonaaa...unatakiwa ufanye hiviiiii.....wink
HAWA wazungu sijui ni Mashemeji zetu toka Denmark....niliwakuta wameshaingiaaa
Ukiambiwa Mwanamke Nyonga makalio majaaliwa muamini nilijionea kwa huyu mama...wish ningekuwa na moving camera....lol
Watoto wa Muji kasoro Bahari tuliwakilishwa na Mama MONO accesories, Fina Bi harusi wangu na Elizabeth Kobelo



watu walikuwa kama wako kwenye TRENI....mara hujakaa sawa Sambusa, mikate, supu, ukiingia kungu...tukamalizwa nahilo jisupu....ndo milo ya kibao kata hiyo

Tashtiti za Asuminiiii mambo ya Mwambao haya


RED CARPET










Ah Bilal Hassan Seduction! Seduction!
We Sanura weee all ze way from DENMARK....hi sharifaaa umemiss Mama eee?!!!






Naandaa picha za kitchen party....ENJOY!!!

No comments:

Post a Comment