Saturday, March 27, 2010

VIDA MAHIMBO::DESIGNER




ni desgner anayechipukia kwa hapa Tanzania anashirikiana na desgner kutoka Italy na hata malighafi ya nguo zake na matengenezo hufanyiwa Italy.....ana uza nguo kama jeans, tops, swimming costum,linen nk....mtembelee dukani kwake Slip Way ,Pembeni na Barclays Bank
kumsoma zaidi ingi
HUMU

No comments:

Post a Comment