Monday, July 26, 2010

AMINA ALIPOPONGEZWA NA PREZIDAR





Amina Mollel mtangazaji wa TBC ametumia taaluma yake kuwasaidia watu wenye ulemavu kupitia vipindi vya Shajara na Wape Nafasi

Sara Mageni ambaye ni mlemavu anayelea watoto tatima 7 wa ndugu zake waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI.

Baada ya kurusha kipindi kilimgusa Rais Kikwete ambaye alimchangia Sara Bajaj pamoja na milioni 2

Pichani amina akipongezwa na Rais kutokana na mchango wake katika kuwasaidia watu wenye ulemavu kupitia taaluma yake.

No comments:

Post a Comment